Kwanza Production

Kwanza Production

Share

Papa Francis. Maisha, Kifo, maziko na taratibu za mrithi wake 04/29/2025

Papa Francis, kiongozi wa kanisa katoliki duniani na ambaye aliaminika kuwa Papa mwanabadiliko toka Agentina, amezikwa Jumamosi, Aprili 25, 2025 katika kanisa kuu la Mt Maria Major.

Papa Francis ambaye alilitikisa kanisa Katoliki na hasa waumini wanaoshikilia misimamo mikali ya kiimani kwa kuwasikiliza watu wa jinsia moja ndani ya kanisa na kusimamia haki za wahamihaji, alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka (Aprili 21, 2025) akiwa na miaka 88.

Mazishi yake yalitanguliwa na maombolezo ya laki kadhaa za waumini ambao walikusanyika Vatikan kuomboleza kifo cha kiongozi huyu aliyependwa na wengi duniani kwa msimamo dhidi ya vita, ubepari, mabadiliko ya tabia nchi na hata kazi zake za kupinga umaskini.

Papa Francis. Maisha, Kifo, maziko na taratibu za mrithi wake Papa Francis, kiongozi wa kanisa katoliki duniani na ambaye aliaminika kuwa Papa mwanabadiliko toka Agentina, amezikwa Jumamosi, Aprili 25, 2025 katika kanis...

Want your business to be the top-listed Media Company in Silver Spring?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


1707 January Drive #204
Silver Spring, MD
20904