Tamthiliya

Tamthiliya

Share

11/07/2018

Mpya Mpya Mpya
2018
inakuja

Photos 09/27/2018

Album: NIMEPATA ANAYE NIPENDA
>DONDA LA PENZI

Itaanza Kuruka Hewa Tena
Ww Ambae Bado Like Na Comment

Photos 11/28/2016

Jina la tamthiliya: DONDA LA PENZI
Mwandish: SIMON S MASOMHE
Cm 0762922508
02

""Watu waliokuwa eneo hilo waliulizana ninani anayeshuka maana sura ya mrimbwende huyo ilionekana n ngen kabisa maeneo hayo.
Hatimae deleva aliweza kufungua mlango ambao msichana huyo alipokuwa ameket macho ya watu waliokuwa wameket sehemu hiyo wakiendelea kumshangaa macho yaliwatoka baada ya kumshuhudia msichana huyo mlimbwede misili ya malaika alie shushwa na mwenyez mungu.
hakika alionekana msichana mzur sana alikuwa kavalia gaun jekundu na viatu vya mchuchumio rang ya zambarau nguo alizo kuwa kavaa mwanadada huyo hakika zilimtoa na alipendeza kwan zilimkaa vyema mwilin mwake

"duu!! hakika dunia hii kuna wanawake wamezaliwa utafikir mtoto haend mawaliton"

zilikuwa ni saut za vijana waliokuwa wamekaa kwa pamoja huku wakiendelea kumshangaa mribwende yule
Deleva baada ya kumfungulia mrango bint huyo akatoka inje uzur wake uliongezeka mara dufu...
@....
na comment

na k**a page huja lik

Photos 11/22/2016

Kupitia simu yako sasa unaweza kupata murua
chakufanya ww like tu page k**a bado

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Los Angeles?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Art

Address


1 World Way
Los Angeles, CA
90045