First United Methodist Church Of Akron
01/05/2026
https://youtube.com/shorts/HsEBDFvge_Q?si=qIDlewFqoLfeTNdx
5 January 2026 Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
01/04/2026
https://youtube.com/shorts/-BzhHow8JyE?si=3vo6dynSirqmDRus
📖 Mithali 4:13 Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
01/02/2026
https://youtube.com/shorts/60rJ9KW4mKk?si=XMbbguXc9ZRimPS4
Matendo ya Mitume 2:38 Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
01/02/2026
📖 “Tazama, nimekuwekea mbele yako mlango ulio wazi, ambao hakuna awezaye kuufunga.”
— Ufunuo 3:8
Katika mwaka wa 2026, utaona mungu akifungua milango ya baraka
milango ya neema, mafanikio na amani.
Kile kilichokuwa kimefungwa kitafunguliwa,
kile kilichocheleweshwa kitafika kwa wakati wake.
Tembea kwa imani na bidii,
maana Mungu yuko mbele yako akitengeneza njia.
2026 ni mwaka wa ushuhuda!
12/27/2025
Tunawatakiya Christmas njema 🎄
12/21/2025
https://youtube.com/shorts/SJupQV4bi3g?si=EDZNwFydbDHMT7Rp
•Pale unapotaka kukata tamaa ndipo mafanikio yako huyokea Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
Isaya 40:31
Bali wamngojeao Bwana hupata nguvu mpya; huruka juu k**a tai; hukimbia wala hawachoki.
12/15/2025
https://youtube.com/shorts/SB8_uDV5MIg?si=RmC_RojVCnd_UDXO
BABEMBE 🤣 Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
12/14/2025
Tazama, jinsi ilivyo vema na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja.(Zaburi 133:1)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
265 E Mill Street
Akron, OH