Shambaboy
15/06/2026
1. Abraham > 3 wives
2. Shambaboy Comedian > 4 wives
3. David > 8 wives and many concubines
4. Solomon > 700 wives, 300 concubines
5. Rehoboam > 18 wives, 60 concubines
6. Abijah > 14 wives
7. Lamech > 2 wives
8. Elkanah > 2 wives
9.Jacob >4 wives
I'm not telling the men here anything, I was just reading the Bible on my own
14/06/2026
BAADA YA KUACHANA NA MTU usilie futa machozi na mtu wa kwanza kumlima block ni huyo muliyeachana, watu wa pili ni marafiki zake hawa ndio masnitch wakubwa Walime block za mwendokasi.. usjiroge ukadhani wanakupenda sana, watakuchelewesha tu kwenye healing!!
Lima block ndugu zake k**a mulishaanza kuongea, hakikisha huoni hata sura ya mmoja wao kwneye social media zako!! Block kuanzia normal call hadi mitandaoni na acha mazoea ya kwenda kwao sijui kusalimia kisa ndugu zake wanakupenda, hawakupendi ni wanafki.
Nenda kwenye call contact history zindelete shwaa mazima, Rudi kwemye message delete message zote ziwe za rafiki zake au zake! HALAFU AGIZA MAZIWA FRESH KUNYWA TARATIBU HUKU UKIMTAZAMA KUNGWI DUME YOUTUBE.
Acha kujitenga, tafuta marafiki wapya au mazingira mapya, k**a unaweza kuepuka kuonana naye EX wako basi EPUKA!! Usitake kujua kinachoendelea kwenye maisha yake.
Mtafute Kungwi Dume akupige msasa au jiunge na Group lake uvuke salama!! Mshirikishe kila hatua unayopitia BAADA YA MUDA UTAGUNDUA MAISHA NI MARAHISI BILA YEYE!! UTAGUNDUA KESHO NI BORA KULIKO JANA YA MAUMIVU.
Utagundua bado una thamani na unamvuto na bado hujachelewa, k**a mfuko unaruhusu tembelea sehemu nzuri uji spoil maisha ni mafupi kuumiza kichwa sababu ya MTU MZIMA K**A WEWE MWALI WANGU huko ni kujikosea heshima yako.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Kingandole Ward
Busia