AFYA NA TIBA
21/12/2020
Uzito wa mwili unaopaswa kuwa nao kulingana na urefu wako.
Katika hali ambayo ni ya mazoea watu wengi tumekuwa tukitamani na kujitahidi kuwa na mwili wenye umbo au uzito fulani.
Hii imekuwa ikifanyika kwa kujiwekea mipaka katika ulaji wa vyakula na pia hata kujihusisha na aina mbalimbali za mazoezi.
Mpenzi msomaji,napenda kuchukua nafasi hii kukushirikisha pamoja na kukukumbusha juu ya uzito wa mwili ambao kiafya mtu anapaswa kuwa nao ili kuweza kuepukana na hatari ya kupata matatizo mbalimbali ya kiafya.
Kwa mujibu wa mahesabu ya kiafya au kitaalamu,uzito wa mwili hutegemeana na urefu wa mtu, ambapo kuna kanuni ambayo kitaalamu huwezesha kujua mtu mwenye urefu fulani anapaswa awe na uzito kiasi gani.
Kanuni hiyo ambayo hujulikana k**a BODY MASS INDEX (BMI)
hutupatia uwiano wa uzito wa mwili wa mtu pamoja na urefu wake.
BMI = Uzito wa mwili katika kilogramu (Kg) / Urefu wa mwili katika mita za mraba (M^2).
Kutokana na kanuni hiyo, ukichukua uzito wa mwili wako katika vipimo vya kilogramu,ukagawanya na urefu wa mwili wako katika vipimo wa mita, utapata namba ambayo kitaalamu itakuwezesha kujua k**a uzito wa mwili wako upo sawa kwa maana ya k**a ni uzito mkubwa au mdogo.
Mchanganuo wa namba unazoweza kuzipata baada ya kugawanya uzito wako kwa urefu wako ni k**a ifuatavyo.
Chini ya 18.5 Mtu huyo anao uzito pungufu ( Under weight )
Kuanzia 18.5 – 24.9 ni Uzito wa kawaida ambao kiafya ni salama ( Normal Weight)
Kuanzia 25 – 29.5 ni Uzito mkubwa ( Over weight ) Kuanzia 30 na kuendelea ni Uzito mkubwa zaidi ( Obesity )
Mfano, inatakiwa ukichukua uzito wako,ukagawanya na urefu wa mwili wako,upate namba ambayo ni kati ya 18.5 na 24.9. K**a una kilogramu 70, na urefu wa mita 1.9, basi ukigawanya utapata, 70/( 1.9)^2 = 19.39 Ambayo kiafya ni sawa.
Kumbuka kuwa, urefu wako unatakiwa uwe katika vipimo vya mita na kisha uuzidishe ili kupata mita za mraba,mfano k**a una mita 1.9, zidisha hivi, 1.9 mara 1.9 = 3.61, halafu chukua uzito wako mfano, 70kg na gawanya kwa
15/10/2020
Habari za jioni!.
*POMESTEEN POWER*
Ni bidhaa ya asili iliyotengezwa Kutokana na matunda ya Pomegrate, inamchanganyiko wa virutubisho muhimu na vitamins k**a vile Vitamin C,D,E,B6 na madini k**a Zinc na Selenium.
*FAIDA ZAKE KWA MWANAUME:* Bidhaa hii husaidia:
1- Kulinda afya ya uzazi kwa mwanaume
2- Kupambana na tezi Dume (Prostate)
3- Udhibiti wa Kansa ya korodani.
4- Kuzalisha mbegu zaidi.
5- Kuongeza Nguvu za Kiume.
6- Kuleta hamu ya Tendo la ndoa.
7- Husaidia kubalance hormones.
8- Kuongeza nguvu na stamina wakati wa tendo na baada ya tendo.
*FAIDA ZAKE KWA MWANAMKE:*
Bidhaa hizi ni muhimu sana katika kulinda na kuboresha afya ya uzazi wa mwanamke pia. Husaidia katika:
1- Kubalance hormoni kwa wanawake
2- Kusafisha mirija ya uzazi, kibofu cha mkojo pia kuondoa vimbe.
3- Kuzuia madhara ya kukoma kwa hedhi (menopause)
4- Kurutubisha yai la mwanamke
5- Kuboresha kinga ya mwili na kuthibiti changamoto ya U.T.I ya mara kwa mara.
6- Kuweka sawa mzunguko wa hedhi na ute laini.
7- Huongeza kinga imara kwa changamoto za magonjwa.
Call +255772088148 /Whatsapp +255621100726
Natafuta watu mbalimbali kwa ajili ya kushirikiana nao katika kufanya biashara awe popote dunia hii naweza kushirikiana nae Ila sihitaji kiasi chochote kutoka kwako
Kwa afya yko
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Zanzibar City