Viungo Project

Viungo Project

Share

Katibu mkuu wizara ya kilimo Zanzibar,  Seif Shaban (kulia) na Anna Constantini, afisa kutoka @euintanzania wakikagua shamba la Vanilla la kikundi cha Vanilla Growing Cooperative katika Shehia ya Donge Mbiji, wilaya ya Kaskazini B ambao ni wanufaika wa #VIUNGOPROJECT unaotekelezwa kupitia program ya #AGRICONNECT🇪🇺🇹🇿 wakati wa ziara ya maafisa wa Wizara hiyo, maafisa wa Umoja wa Ulaya pamoja na timu ya wataalam washauri kutembelea na kutathimini maendeleo ya program hiyo kwa wanufaika katika sekta ya kilimo.  #ShambaLanguMtajiWangu

"Tushirikiane na wakulima katika masuala ya masoko ili kuhakikisha wanapata masoko bora kwaajili ya kuuza bidhaa zao kwa bei ya faida hasa kwa mazao ya viungo," ameeleza Katibu Mkuu huyo.

@tamwa_zanzibar @pdf_tz @communityforestspemba @community_forests  @taha_tanzania 10/06/2023

Katibu mkuu wizara ya kilimo Zanzibar, Seif Shaban (kulia) na Anna Constantini, afisa kutoka wakikagua shamba la Vanilla la kikundi cha Vanilla Growing Cooperative katika Shehia ya Donge Mbiji, wilaya ya Kaskazini B ambao ni wanufaika wa unaotekelezwa kupitia program ya 🇪🇺🇹🇿 wakati wa ziara ya maafisa wa Wizara hiyo, maafisa wa Umoja wa Ulaya pamoja na timu ya wataalam washauri kutembelea na kutathimini maendeleo ya program hiyo kwa wanufaika katika sekta ya kilimo.

"Tushirikiane na wakulima katika masuala ya masoko ili kuhakikisha wanapata masoko bora kwaajili ya kuuza bidhaa zao kwa bei ya faida hasa kwa mazao ya viungo," ameeleza Katibu Mkuu huyo.

European Union in Tanzania
https://www.instagram.com/p/CtTyZ6ktghq/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Katibu mkuu wizara ya kilimo Zanzibar, Seif Shaban (kulia) na Anna Constantini, afisa kutoka @euintanzania wakikagua shamba la Vanilla la kikundi cha Vanilla Growing Cooperative katika Shehia ya Donge Mbiji, wilaya ya Kaskazini B ambao ni wanufaika wa #VIUNGOPROJECT unaotekelezwa kupitia program ya #AGRICONNECT🇪🇺🇹🇿 wakati wa ziara ya maafisa wa Wizara hiyo, maafisa wa Umoja wa Ulaya pamoja na timu ya wataalam washauri kutembelea na kutathimini maendeleo ya program hiyo kwa wanufaika katika sekta ya kilimo. #ShambaLanguMtajiWangu "Tushirikiane na wakulima katika masuala ya masoko ili kuhakikisha wanapata masoko bora kwaajili ya kuuza bidhaa zao kwa bei ya faida hasa kwa mazao ya viungo," ameeleza Katibu Mkuu huyo. @tamwa_zanzibar @pdf_tz @communityforestspemba @community_forests @taha_tanzania

Photos from Viungo Project's post 07/09/2022

WAKULIMA WAPATIWA MBINU ZA KUSARIFU MBOGA, MATUNDA.

Wakulima wa bustani za nyumbani kutoka Shehia ya Maziwang'ombe, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wamepatiwa mafunzo ya kusarifu Nyanya na Mchicha kwa njia ya vitendo ikiwa ni utekelezaji mradi wa Viungo unaotekelezwa kupitia mpango wa kwa ufadhili wa European Union in Tanzania

Mafunzo hayo kwa wakulima yaliyoongozwa na Afisa Lishe na Uhakika wa Chakula wa mradi huu, Mkombozi Christopher Nzoya, yamelenga kupunguza upotevu wa mbogamboga msimu wa mavuno kwa jamii, kuhamasisha jamii kuacha kulima bustani za nyumbani kwa mazoea na badala yake kuwajengea uwezo wa kuzalisha bustani za nyumbani kwa dhamira ya kuboresha lishe ya familia na biashara.

Aidha mafunzo hayo pia yamelenga kuongeza matumizi sahihi ya lishe za mboga na matunda kwenye kaya katika msimu usio wa kilimo cha mazao hayo, ikiwa ni sambamba na kupunguza na kuzuia changamoto za utapiamlo zinazotokana na ukosefu wa Mboga za majani na matunda kwa watoto, wajawazito, wasichana wanaopevuka pamoja na akinamama wanaonyonyesha.


https://www.instagram.com/p/CiM3kn6NgrJ/?igshid=MDJmNzVkMjY=

Want your business to be the top-listed Finance Company in Zanzibar City?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Zanzibar City