SIMBA CAF FANS

SIMBA CAF FANS

Share

09/07/2025

Kibu Denis ameanza majaribio ya wiki mbili na klabu kubwa ya MLS πŸ‡ΊπŸ‡Έ

Simba SC wamemruhusu winga wao kufanyiwa tathmini kabla ya klabu hiyo kutuma ofa rasmi. Kibu anataka kucheza Marekani kuwa karibu na familia yake. πŸ‡ΊπŸ‡Έ

Pia ana ofa kutoka RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦, MC Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ na Al Ahli Tripoli πŸ‡±πŸ‡Ύ.

Mkataba wake na Simba umebakisha mwaka mmoja β€” hatopatikana bure. πŸ”΄πŸ¦
Abuy Khan

08/07/2025

Takwimu zinaongea πŸ’―

07/07/2025

Wanamsimbaziiii
JE WANAJUA ;Timu hizi hazitaanzia hatua ya Awali Ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao

πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly.
πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelod Sundowns.
πŸ‡ΉπŸ‡³ Esperance.
πŸ‡²πŸ‡¦ Rs Barkane.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba Sports Club.

Wataanzia hatua ya kwanzaβœ…

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Tanga