JOSE PHOTO Studio

JOSE PHOTO Studio

Share

Photos 01/11/2017

Karibu tukuhudumie, tuna wapiga picha wazuri walio tayari muda wote kwa mahitaji yako ya picha za mnato (still pictures) na picha mjongeo (video/movies) kwa matukio ya HARUSI, KITCHEN PARTY, KIPAIMARA, MAHAFALI, BIRTHDAY PARTY n.k.

Ili kuzingatia maadili tuna mpigapicha wa k**e maalum kwa shughuli ambazo wanaume hawaruhusiwi kuhudhuria ( k.v. KITCHEN PARTY)

Tupo Barabara ya 17/Barabara ya Taifa (Street No 17/Taifa Road). Pia waweza kutupigia kwa namba 0654 614040, kututembelea kwenye facebook - [email protected]

Jose Photo Studio, forever for you!!!

Photos 06/07/2016

Habari? Katika msimu huu wa sikukuu za Eid tunapenda kuwakaribisha wapendwa wote waliopo jijini Tanga kuweka kumbukumbu na ndugu, jamaa na marafiki kwa kupiga picha katika studio yetu. Tunapatikana Br 17/Maua na pia kwa namba zetu 0654614040. Muda wa jioni tutakuwa maeneo ya Forodhani kuanzia saa 11 na baadaye maeneo ya Fetefete Ansaar ( Mtaa wa Eckenforde) kuanzia saa 1 usiku. KUMBUKA: Huduma zetu ni express, utapata picha zako muda huo huo.

Tunayo pia huduma ya picha katika mandhari tofauti tofauti za kuvutia tofauti na eneo ulilopigia picha. Karibuni sana!

Want your business to be the top-listed Photography Service in Tanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


NGAMIANI KUSINI
Tanga
BARABARAYA17/TAIFA