Simulizi Za Kweli

Simulizi Za Kweli

Share

17/04/2026

Sio kwa ubaya lakini unakuta mdada hajazaa lakini matiti yalivyomshuka utafikiri Ana nzao 6 hii huwa inatokana na nini wadau?

13/03/2026

Kuna mdada huko tiktok huyo hapo kwenye picha kajitokeza ana dai kwamba yeye ndiyo mama wa huyo mtoto kaandika ujumbe huu.​ πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
"Watanzania Niko mbele yenu kuwaomba msamaha sana tena sana😭😭😭😭 Sina cha kusema Mimi moyo wangu unavuja damu naona aibu Mimi hata kusema mbele yenu😭😭
Mwanangu naomba nimsamehe pia sikutaka kukutupa Mimi baba yako ndiyo chanzo cha yote haya mwanangu😭😭😭 nimeumia sana tena sana Kwa nilichokifanya mwenzako huku naona aibu Mimi😭😭😭". Je, Una maoni gani kuhusu jambo hili? K**a kweli yeye ndiyo muhusika kumtupa mtoto je una hisi kati ya mwanaume na yeye nani mwenye makosa???

Want your business to be the top-listed Photography Service in Tanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Tanga