Maridhawa Tech

Maridhawa Tech

Share

20/11/2019

Zijue aina za keyboard za kompyuta ambazo zimetawala kwa watumiaji wengi.

Kuna US keyboard na UK keyboard, k**a hapo kwenye picha inavyoonesha tofauti baina ya keyboard mbili. Ya juu ni US na ya chini ni UK.

Hivyo unapoweka WINDOWS kwenye kompyuta zingatia hicho kitu, mwanzoni kabisa kuna option ya kuchagua aina ya Keyboard, uangalie layout yake kwanza ndiyo uchague. Usije ukawa Keyboard yako inaonesha ni US kwenye Windows installation ukaweka UK

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Tanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Tanga
21201