VDC
Children are likely to live up to what you believe of them..
08/11/2021
......VIOLA DAY CARE CENTER' SHINYANGA NI KITUO BORA KABISA KWA ELIMU NA MALEZI KWA WATOTO......MLETE MWANAO MAPEMA KWA USAJILI WA MASOMO 2021/2022 UTAKAO ANZA
3 JANUARY 2022.....
TUNAPOKEA WATOTO KUANZIA MIAKA 2.0 HADI 5.0
++++++++............ Je, Wajua....????
Malezi Bora ya mtoto huanzia utotoni mpaka utu uzima. Kufuatia mfumo wa sasa wa maisha ya u - busy Wazazi/walezi wamekuwa wakipata shida ifikapo katika Malezi ya watoto wenye umri chini ya miaka Mitano
- Na hii imewatokea wengi, pale Wasaidizi wa kazi wanapokuwa hawawezi kuwalea watoto wadogo ipasavyo na wakati mwingine wanaleta usumbufu mpaka wanafikia hatua ya kuacha kazi....
Sasa basi usipate shida :
Viola Day Care Center ndiyo suluhisho kwani tunao walezi waliosomea fani ya kulea watoto kwa kiwango cha juu..
Na;
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
👉🏻Elimu ya awali kwa watoto wadogo chini ya walezi waliobobea katika malezi na makini kabisa
👉🏻Kifungua kinywa /Breakfast
👉🏻Chakula cha mchana/Lunch+Fruits and bites....
👉🏻Mahali safi na salama pa kulala mchana
👉🏻Michezo
Mlete mwanao Viola Day Care Center ujionee utofauti.
VIOLA DAY CARE CENTER IKO WAPI?
Viola Day Care Center ipo Ngokolo mkabala na Shule ya Msingi Bugoyi B Shinyanga Mjini
Wasiliana nasi kwa simu namba:
0672 553 831 au 0621508580/0788821555
Usajili wa watoto utaanza KABLA ya 3 JANUARY 2022 na Hata sasa Tunaendelea kupokea watoto ....
.........EXPERIENCE CHILD DAY CARE AS IT SHOULD BE, only at Viola Day Care Center ..........🥳🥳🥳🥳
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
NGOKOLO
Shinyanga
102
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 16:00 |
| Tuesday | 07:00 - 16:00 |
| Wednesday | 07:00 - 16:00 |
| Thursday | 07:00 - 16:00 |
| Friday | 07:00 - 01:00 |