JOTV

JOTV

Share

06/08/2023

Ziwezi kurusha live kwa sasa labda k**a zitakuwa interview za wasemaji au mikutona live kwanini sitoweza kurusha live kutokana hata nikirusha live Azam wataishusha tu kutokana na hivyo bc nitajitahidi angalau kuleta highlights za mechi so naombeni radhi kutokana na sababu hizo

30/07/2023

Klabu ya Singida Fountain Gate iliyokuwa inaitwa Singida Big stars msimu uliyopita sasa imenasa staa wa Kenya Duke Abuya ambaye tyari amesha jiunga na klabu hiyo inayopiga kambi mjini Arusha kwaajili ya maandalizi ya msimu unaokuja wa Nbc Premier League
Kiungo huyo wakati ametokea team ya kenya iitwayo Kenya Police na kujiunga Na team ya Singida Fountain Gate msimu huu. .

Want your business to be the top-listed Media Company in Shinyanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Shinyanga
1313