AFYA BORA
18/04/2021
*DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*
✅kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati
✅kwenda haja ndogo Mara kwa Mara
✅watoto kukojoa kitandani
✅kusikia njaa kila wakati kula sana
✅wanawake kuwashwa uken
✅kutoona vizuri
✅kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiana kwa wanawake
✅kupungua uzito na kukonda licha ya kula vizuri
✅kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati
✅vidonda au majeraha sehemu ya mwili kutopona haraka
✅miguu kuwaka moto au kupata ganzi...
TUCHUKUE HATUA MAPEMA..
Tuma ujumbe Afya Jamii kwenda 0656994799
18/04/2021
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
(0656994799)
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.
2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.
3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.
4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.
5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.
Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?
Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.
Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0656994799 au piga simu usaidiwe haraka
BUNGENI NAKO GUMZO...
Tupigie au tuma ujumbe tusaidiane
05/04/2021
*Ujumbe wa leo*:
Tujali afya zetu wakati wote tusisubiri tupate ugonjwa ndipo tuhangaike huku na kule kwani kinga ni bora kuliko tiba.
Kula vizuri jenga mifumo ya mwili kwa virutubisho Lishe asilia (supplements), Kunywa maji walau Lita tatu kwa siku, fanya mazoezi ya kukimbia walau mara nne kwa week, punguza matumizi ya sukari, punguza matumizi ya chumvi, punguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi, Lala walau kwa masaa nane kwa siku. Hepuka kuwakwaza Wengine na usihifadhi chuki moyoni ili kuhepuka matatzo yatokanayo na stress. Usisahau Ibada kwa imani yako kwani M/Mungu ndiye anayetujalia hii afya tuliyonayo. Afya ni zaidi ya pesa, tusijisahau. Unapojiimarisha kwa virutubisho asilia vya Arg plus na Multimaca nk unaujengea mwili uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi.
Kwa changamoto Yoyote wasiliana nasi kwa 0656994799 tu ujumbe Afya jamii
04/04/2021
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
(0656994799)
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.
2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.
3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.
4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.
5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.
Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?
Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.
Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0656994799 au piga simu usaidiwe haraka
03/04/2021
✴✴MADHARA YA MATUMIZI YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA ( Family planning)🔵🔵
A)MADHARA YA NJIA YA SINDANO
(1) Usumbufu wa hedhi
(2) Kuumwa kichwa mara kwa mara
(3) Kizunguzungu
(4) Kichefuchefu
(5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
(6) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
(7) Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi
B)MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE
(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha ma uvimbe
(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
(3) Kuumwa kichwa mara kwa mara
(4) Kupata kichefuchefu
(5) Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
(6) Kubadilisha mwenendo wa damu
(7) Kuliathiri ini kidogo kidogo
(8) Kupata kisukari
(9) Kupata ugonjwa wa moyo
(10) Kupooza upande mmoja wa mwili.
(11) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
C)MADHARA YA KITANZI
(1) Utokaji ovyo wa damu
(2)Kutoboka fuko la uzazi
(3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
(4) Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
(5) Kuondoa hamu tendo la ndoa
D)MADHARA YA KIJITI
(1) Husababisha kansa
(2) Huchanganyikiwa (Akili huvurugika)
(3) Shinikizo la damu
(4) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
(5) Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
(6) Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya
Yawezekana nzunguko wako umebadilika
Unapata maumivu chini ya kitofu
Unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa
Unapata hedhi ndefu
Haupati kabisa hamu ya tendo la ndoa
Je haushiki ujauzito??
Wasiliana nasi kwa kutumia ujumbe wa AFYA Jamii kwenda watsap namba 0656994799 au pigs simu usaidiwe mapema.
The earlier the better
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Njombe