AFYA BORA TZ

AFYA BORA TZ

Share

04/05/2020

*CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI*

Bawasiri ni tatizo linaloanza kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakuw mbovu husababisha kutopata choo vizuri (Haja kubwa).

Mfumo mbovu mmeng'enyo wa chakula unapelekea chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utombk mdogo hivyo kupelekea kupitiliza moja kwa moja k**a kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo majimaji kutoka kwenye chakula hufyonzwa hivyo kupelekea choo kuwa kikavu. Inapofikia kwenda chooni(haja kubwa) choo kuwa kigumu na kutumia nguvu kukisukuma choo kitoke.
Hali hii hupelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama huanza kujitengeneza, hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na muwasho kwa ndani na mara nyengine kupata choo chenye damu.
Hivyo basi kadri unavyozid kupata choo kigumu misuli ya tundu ya haja huzidi kuathirika na kupelekea kinyama kutokeza.

Mtu mwenye Afya mwenye Afya nzuri anapata choo kulingana na mlo alioupata kwa siku k**a ni mara tatu basi anatakiwa kupata choo mara tatu kwa siku tena choo chako kitoke kirefu na uref saw na ndizi mbivu, bila kuijkata kata k**a cha mbuzi.

Kwa tatizo la Bawasiri tutumie ujumbe wa neno AFYA BORA TZ kwenda watsap namba 0656994799 au piga simu usaidiwe mapema

23/04/2020

Kwann mwanao apate utapia mulo...
Yaani malnutrition wakati una virutubisho asilia kabsa
MULTIVITAMINS
1.Huongeza kinga ya mwili kwa watoto
2.kuongeza kiwango cha unyonywaji wa madini
3.husaidia mtoto kupata choo.
4.ina virutubisho muhimu sana
5.kuipa ngozi zfya nzuri

Pata MULTIVITAMINS yako mapema

Tuma ujumbe wa neno AFYA BORZ TZ kwenda 0656994799 au piga simu uhudumiwe mapema

23/04/2020

MULTI MACA SUPPLEMENTS

1.Inaongeza hamu ya tendo la ndoa
2.unmuongezea stamina
3.inaondoa uchovu wote mwilini
4.inakupa AFYA njema ya akili
5.inaongeza kinga ya mwili
6.ina virutubisha bingo ambavyo ni vya asili

Tuma ujumbe wa neno AFYA BORA TZ mwenda simu namba 0656994799 au piga simu usaidiwe mapema

23/04/2020

Sikiliza maelezo ya hiyo product kuhusu jinsi inavosaidia kwenye swala zima la nguvu za kiume!!!
Tuma ujumbe Afya BORA tz kwenda watsap namba 0656994799 au piga simu usaidiwe haraka

23/04/2020

FAHAMU VIZURI NAMNA KUJICHUA KUNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME.

Katika uume kuna sehemu inaitwa Corpus cavernosum ni msuli muhimu sana unaojenga uume ,ni msuli mkubwa unaojaa damu kwa asilimia 90 uume ukiwa umesisima .Msuli huu ukiwa na afya njema ,uume utasimama vizuri na muda mrefu bila kusinyaa haraka.Pia Ndio husababisha uume uwe na nguvu hatimaye kumuwezesha mwanaume kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi wa hali ya juu.

Vivile msuli corpus cavernosum ukiwa salama uume unatuna na ukisimama unakuwa mrefu na mnene .Ikiwa kuna hitilafu ndani yake uume utasinyaa sana na kuwa k**a wa mtoto mdogo!

Mwanaume aliyefanya punyeto huwa msuli huo unajeruhiwa sana ,hupelekea kukak**aa na kujenga usugu vile vile hata kupungua kipenyo chake na mishipa ya damu iliyopo kwa ndani hufa inabaki michache sana .Matokeo yake Damu Huingia kidogo uume ukiwa umesimama .

Dalili ambazo huonyesha kwamba uume wako umejeruhiwa na kupiga punyeto ni maumivu baada ya kumaliza kujichua,ukimaliza kujichua uume unanyea haraka sana na kurudi ndani,korodani kuuma,uume unasimama lakini haujikazi unakuwa lege lege,Unatoa mbegu kidogo ,kuna baadhi ya siku nyingine wakati shahawa zinatoka (ej*******on) unahisi maumivu badala ya raha,siku nyingine unahisi hamu za kufanya punyeto lakini uume hausimami mpaka ulazimishe,punyeto ndio hukupa raha zaidi kuliko uke,Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kubana uume kwa mkono au sehemu yoyote ile ili kuendelea kupata raha ile ile k**a ya mwanzoni.Hii ni kutokana na kufa kwa neva hivyo usipobana vizuri uume kwa nguvu hupati raha au msisimko!
O
Wengi wamejichua au kufanya punyeto pasipo kujua madhara yake ,leo nimekuonyesha madhara yake kwa kina. K**a ulishajichua kipindi cha nyuma anza kujikinga na athari sasa kabla changamoto haijaathiri zaidi.Asilimia kubwa ya waathirika wa punyeto ni vijana waliosoma shule za boarding. Chukua tahadhali mapema.

Suluhisho: Tuma ujumbe neno AFYA BORA TZ kwenda WhatsApp 0656994799 au piga simu usaidiwe mapema.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Njombe?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


54
Njombe
255