Matekele DigTech

Matekele DigTech

Share

19/05/2026
19/05/2026

20/03/2026

Sabato Njema
Fursa ya Sala

β€œNi kosa baya sana kupuuza ibada ya Mungu ya pamoja. Fadhila za huduma ya kiungu hazipaswi kupewa uzito mdogo. Wale wanaohudumia wagonjwa mara nyingi huwa hawawezi kuhudhurisha ili kupata fursa hizi, lakini wanapaswa kuwa makini wasikose bila sababu kwenye nyumba ya ibada.”

β€” Huduma Ya Uponyaji Sura 43, UK 356–364, Uzoefu wa juu zaidi

Kwa huduma za kibingwa wasiliana nasi kupitia:
πŸ“ž +255747178905 / 0765367644
🌐 sdapasiansihospital.org

Photos from Matekele DigTech 's post 20/03/2026

πŸ”₯ JUMA LA MAOMBI YA VIJANA ULIMWENGUNI 2026πŸ”₯

Karibu vijana wote katika wiki maalum ya kuungana pamoja katika maombi, kujifunza Neno la Mungu, na kujengwa kirohoπŸ™βœ¨

πŸ“– Kaulimbiu:bCommunion in Action
πŸ“ Mahali: Pasiansi SDA Church
πŸ“… Tarehe: 21 – 28 Machi 2026

Ni wakati wa kuimarisha imani, kuungana k**a familia ya vijana, na kuruhusu Mungu atutendee mambo makuu katika maisha yetu πŸ’™

Usikose! Mlete na rafiki yako – baraka ni kwa wote πŸ™Œ

04/12/2025

Ni lazima Kwa pamoja tuwe na Utume wa Yesu Kirsto - Pr. Sando

03/12/2025

USHINDI NI WA BWANA

NJOO UJIPATIE CHURCH POSTER KWA BEI BABU KUBWA

WASILIANA NAMI

28/11/2025

Matekele Digtech – Design na Branding kwa Uhakika!
Tunatoa huduma bora za:
βœ… Graphic Design (Posters, Logo, Banners n.k)
βœ… Branding za biashara
βœ… Printing na Digital Solutions

Huduma huakika, kazi kwa ubora!
πŸ“Location: Pasiansi, Mwanza
πŸ“ž Mawasiliano: 0753 671 658
πŸ“§ Email: [email protected]

01/05/2025

🌍 Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi – 01 Mei 2025!
Tunawatakia heri, afya na mafanikio wafanyakazi wote nchini β€”

πŸ—³οΈ Kauli mbiu:
β€œUchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi – Sote Tushiriki!”

---

🎨
Unahitaji poster ya kanisa, biashara, tangazo, au tukio lako maalum? Tunadesign kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu! πŸ™Œ

πŸ“ Tunapatikana Mwanza – Pasiansi
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0753 671 658
(WhatsApp & Simu ya kawaida)

✨ Ubunifu ni maisha. Sanaa ni ujumbe.



---

26/04/2025

πŸŽ‰ Sikukuu ya Muungano Tanzania 2025 πŸŽ‰

Tukiwa tunaadhimisha Siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kwa sababu hii ni siku ni ya kipekee, tumeandaa OFA MAALUM kwako!

πŸ‘¨β€πŸŽ¨ Huduma ya Poster Design kwa Tsh 10,000 pekee!
Hii ni fursa ya kipekee ya kupata poster ya ubunifu na ubora kwa bei nafuu, iliyoandaliwa kulingana na matakwa yako.

βœ”οΈ Poster za harusi
βœ”οΈ Poster za sherehe
βœ”οΈ Poster za biashara
βœ”οΈ Poster za matangazo

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kupitia WhatssApp or Normal Call 0753671658 ili kujua zaidi na kupata huduma yako.

OFA hii ni ya muda mfupi, hivyo Changamka sasa ili usikose!

26/04/2025

TUMWIMBIE BWANA MUSIC CONCERT

SAKINA SDA CHURCH

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mwanza