Invy

Invy

Share

05/12/2024

Hello Hello batana family.
Njooni muone ukweli wa batana na jinsi inafanya kaza haraka.
Naomba niwaletee progress ya nywele za mteja wangu ambae

-Nywele zake ziligoma kabisa kuota muda wote anavaa vitambaa au wig.
-Nilimpa offer ya batana kwa mashart kuwa lazima -Aache kuvaa wig na kufunga kitambaa muda wote kichwa kiwe wazi.
-Kila siku asubui lazima apake mafuta yetu ya batana.

Now see the charges ndani ya miezi miwili.

Wenye nywele ambazo hazioti zinaota
Wenye nywele chache zinajaa
Wenye nywele zinazokatika hazikatiki

Nywele inakuwa nzuri sana.
Ata mama yangu mzazi alinipigia kuniambia naomba Yale mafuta nywele zangu hazikatiki tena.
Yanapatikana kwa ujazo ufuatao
60mls kwa 15,000
120mls kwa 25,000
250mls kwa 35,000

Mawakala wetu wapo
Dodoma +255745787949
Arusha 0763724906 .mmasi
Moshi 0787139811

Batana is real
Batana is everywhere
#
Hamna nywele fupi nywele ni matunzo!!!!
Karibuni woooteeee

30/10/2024

Batana iko
Batana inakuza nywele k**a sijui nini
Batana ni kiboko yani imeniweza. Now tunabana
Just imagine ukiwa na nywele nyingi natural alafu zimejaa
Alafu sasa Ata ukifanya rough dred zinaka k**a za shombeshombe

This is number one oil for hair growth. Yani apa nywele lazima ikushukuru.
K**a zangu apa zimenishukuru kwa kichaga kabisa.

EEKA TE MBE NGACHIO NNU. CHAA NGABARAMAKA NNU TE

Aya sasa wewe jaribu uone k**a hazijakuambia Mahi Dia iti isi inafu.

Yani nywele inajaa alafu inakuwa nzuriiiiiii

Aya Aya kwa wanaohitaji
Arusha .mmasi kwa number 0763724906
Moshi +255 787 139 811
Dodoma +255 738 481 076

Na mwanza pamoja na mikoa yote niko mie top manyota mama ya batana unanipata kwa number 0718822851

We are batanaring
Batana is everywhere
Batanahair ndio Habari sasaivi.

04/10/2024

Tuna Lipa number ya tigo. K**a uonavyo karibu sana.

23/09/2024

Ngoja niwaambie sasa siri ya batana.

1.Nywele haikati

2. Nywele inarefuka haraka

3. Nywele inakuwa haiwashi

4. Nywele inajaa na kuwa nyingiii.

5. Ngozi ya kichwa inakuwa Safi muda wote.

Unapaka mara mbili adi Tatu kwa week kwenye ngozi na kwenye nywele adi kwenye ncha.
Kwa wenye dawa ni vizuri ukapaka ukitoka kuosha kabla ya kuweka rollers na kuingia kwenye dryer.
Kwa wenye natural hair ni vizuri kupaka wakati nywele Ina maji.
Kabla ya kusuka hakikisha nywele zako zina mafuta mengi ya kutosha.
K**a umesuka utaendelea kupaka kwenye ngozi mara moja au mbili kwa week

Hamna nywele fupi wala nywele yangu haiku ndefu. Nywele ni matunzo.

Tunapatikana mwanza mikoani tunatuma

Dodoma tuna wakala wetu.
Moshi na arusha

#

Photos from Invy's post 12/09/2024

Customer feedback.
Batana ni nzuri sana mno.
Ijaribu kwamwe hutajutia

We are batanaring

Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mwanza