Islamic knowledge Tanzania

Islamic knowledge Tanzania

Share

al-Firqah an-Naajiyah 19/03/2025

IBADA YA MWISHO YA MTUME KATIKA ZILE NYUSI 10 ZA MWISHO WA RAMADHAN.

´Aliy ambaye amesema:
”Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiiamsha familia yake katika zile nyusiku kumi za mwisho za Ramadhaan.”[1]

Hadiyth ni nzuri na Swahiyh.
796- Qutaybah ametuhadithia: ´Abdul-Waahid bin Ziyaad ametuhadithia,

kutoka kwa ´Aaishah aliyesema:
”Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akijitahidi katika zile nyusiku kumi za mwisho kuliko anavyojitahidi katika nyusiku zengine.”[2]

Muhusika: Imaam Abu ´Iysaa Muhammad bin ´Iysaa at-Tirmidhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Jaami´ (795-796)
Imechapishwa: 15/05/2020
https://firqatunnajia.com/ibaadah-ya-mtume-katika-zile-nyusiku-kumi-za-mwisho-ramadhaan/

al-Firqah an-Naajiyah Uislamu kwa ufahamu wa Salaf

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


FaruHost, Rock City Mall, 2nd Flor, Mwanza Ilemera
Mwanza