Computer solution

Computer solution

Share

21/07/2015

Do you real need to start IT business ????
Things to be consider - Basic IT skill, Office location, Targeted, clients, Capital, IRR, NPV, . In case you need consultation from us please let me know

19/06/2015

Kompyuta iliyo bora kwa sasa duniani?, Watu wengi wamekuwa wakiniuliza swali hili mara kwa mara. sasa leo nimeona ni vema nitenge mda wangu kidogo kuweza kuwapa dondoo za tathimini zangu. Kwa ulinganishwaji wa ubora, Ufanisi sambamba na uzuri bado iMAC apple inaonekana ipo juu zaidi ya kompyuta zote duniani lakini pia k**a tuaangalia upande wa Desktop ambazo zinatumia Window ni vema ukachagua Dell XPS i5 Processor. Kompyuta hii kwa ujumla ni ubora hususan kwa upande wa ufanisi, wepesi wa mawasiliano ni mkubwa sana . Nawashauri Watanzania kwa ujumla waanze kutumia Dell XPS i5 processor na bei yake ni nafuu sana.

13/06/2015

Je, Unataka ushauri wa kibiashara, au una matatizo yoyote ya mifumo ya Computer ungana nasi kwa msaada wa bureee kabisa

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mwanza
255