Tuongee AFYA

Tuongee AFYA

Share

02/08/2023

TAARIFA MBAYA⚠️⚠️ SOMA HADI MWISHO

wanawake wengi hawafundishwi kuhusu maumbile yao ya uzazi nawanahisi aibu kujadili. Kuna umuhimu Mkubwa sana wa kuelewa maumbile ya uke wako na namna uke wako ulivyo,

Uke usipotunzwa vizuri unaweza kupata Maambukizi ya bakteria, fangasi na virus ambao hupelekea dalili k**a vile miwasho, hari k**a ya kuungua, kutokwa na uchafu usio wa kawaida, vipere kwenye mashavu ya uke, kuvimba kwa mashavu ya uke,

maumivu wakati wa ngono,harufu, kulegea kwa misuri ya uke na ukavu ukeni, Ukavu wa uke ni jambo lingine linalosumbua, haswa miongoni mwa wanawake waliokoma hedhi, na linaweza kusababisha usumbufu wakati wa kufanya ngono.

*TAARIFA* *NJEMA* nimekuletea Muongozo ulithibitishwa na Wataalamu unaolezea namna ya kutunza na kusafisha uke. Mwongozo huu ni muhimu wa kwa Kila mwanamke KUFAHAMU na kufanyia Kazi. *utapata dawa hata mwanaume unaweza kumnunulia Mke wako hakika atakushukuru sana.

.Kisha njoo Inbox KWANGU nitakutumia Muongozo wako huo Ndani ya dakika 2 tu ofa hii ni ya masaa 12 tu baada ya hapo bei itakuwa k**a mwanzo.

Chukua hatua sasa!!!

21/07/2023

Je, ni bidhaa gani inaweza kumaliza kisukari??..
Una uhakika😱😱😱😱😱 Yeahhh.. ni .. moja ya bidhaa zinazovuma na sasa itakua new momentum product!!!!!.. Bidhaa hiyo inaitwaje?
Ni CRYSTAL CELL !!!!
πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ… Piga Sasa au DM kwa maelezo :
+25565990519

www.iphyto.com

What kind of product can end diabetes??..
Are you sure😱😱😱😱😱 Yeahhh.. it's .. one of the trending product and now will become new momentum product !!!!!.. What's the name of the Product?
It's CRYSTAL CELL !!!!
πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ… Call Now or DM for info :
+255659905019

Photos from Tuongee AFYA's post 21/07/2023

SULUHISHO LA MARADHI NA STEM CELL THERAPY

Kwa nini Plant Stem Cell au Seli Shina za Mimea Sio Dawa?

Seli shina sio dawa kwa sababu inasimama katika kukarabati seli na mwili kujitengenezea uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali. Kwa hiyo tunapo ongelea suala la dawa, dawa inatumika pale pindi ambapo mtu anaweza akawa anajisikia vibaya ama kuumwa na akaamua kwenda hospitali kumuona daktari.

Ndio maana tukasema stem cell au seli shina sio dawa.
Je suala la seli shina au stem cell limekaaje hapa? Mfano daktari amekupatia dawa au virutubisho (supplements) kulingana na ugonjwa husika.
Mkanganyiko ni kuwa mtu ameandikiwa dawa ya ugonjwa wa kisukari.

Chanzo kikubwa cha sukari ni kongosho kushindwa kuzalisha insulini. Sasa zile seli za kongosho pata picha zimeshafubaa au kuharibika kabisa kiasi kwamba haziwezi kuwa na ushirikiano mzuri na zile dawa alizokupa daktari na ndio maana unakuta mtu anaweza akafanya clinic kwa miaka na miaka na asipate ufumbuzi wa kuondoa ugonjwa wa kisukari ila badala yake anapata tu nafuu kidogo (relief) na tatizo bado linabakia pale pale.

Kwa sababu tayari seli zake za kongosho zinakuwa hazifanyi kazi vizuri dawa inapoingia mwilini seli zaΒ  kongosho zinakuwa hazina uhai wa kutosha.

Sasa unapoitumia stem cell therapy inasaidia kurejesha uhai wa seli zako za kongosho. Kwa hiyo baada ya kuwa na seli imara mwilini hata dawa inapoingia itafanya kazi kwa ufasaha zaidi kwa sababu imekuta seli zina nguvu ya kuipeleka hiyo dawa mahali husika na kufanya kazi yake vizuri.
Hivyo mtu anaye tumia stem cell therapy mara kwa mara huwezi kukumkuta anaumwa kila mara.Β  Kwa sababu seli za mwili wake zinakuwa imara.

Stem cell therapy inatumika na watu wote kwa muda wote.Β  Stem cell therapy haitumiwi na wagonjwa pekee
Pamoja na magonjwa mengine mengi ambayo hayajatajwa hapa.

Wasiliana nami kujua namna ya kununua bidhaa kwa jumla au reja reja

⏩ Kwa taarifa Zaidi

Call/WhatsApp +255659905019

Β  #

Photos from Tuongee AFYA's post 21/07/2023

PHYTOSCIENCE *3.Snowphyll*

-kuondoa sumu Mwilini. -huchochea kuzalishwa kwa wingi cell nyekundu za damu ikishirikiana na double steamcell -Husain ia kupunguza uzee(wrinkles)
No.
-Kwa wale watu wenye magonjwa sugu kabla ya kuanza kutumia bidhaa zetu zozote,tunawashauri watumie hii kwanza kwa ajili ya kusafisha na kutoa sumu ambazo zimesababishwa na matumizi ya madawa mengine
-Pia kwa wale wenye kusumbuliwa na upungufu wa damu basi snowphyllForte inasaidia kwenye kuongeza kiwango cha damu pia
TEKNOLOGIA ya SELI SHINA kutoka maabara ya Mibelle Biochemistry

Kwa taarifa Zaidi 0622036035
+255659905019 whatsasp

Facebook :

Want your practice to be the top-listed Clinic in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Bugando
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00