RAMMY MEDIA

RAMMY MEDIA

Share

18/08/2025

Mnakumbuka kipindi Marioo yupo moto, Mondi alileta pigo k**a hizi hizi kwenye maongezi yake alisema ‘Marioo alimuomba yeye amsaini akakataa’ 😀

Okay inaweza kuwa kweli lakini why unasema moment k**a hiyo? Nini unataka? Ishu ilikua ni private kwani haiwezi kubaki hivyo? Now wote ni biashara tofauti.. nini sasa unataka 🤷‍♂️

Uzuri Marioo aliruka futi 6, sasa Mbosso k**a sio kiki hizi na anacheka cheka.. subiri 😀

24/01/2025

Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa Wanawake nchini Marekani, haimaanishi ukiolewa na Tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka niikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakuwa hukuhangaikia, k**a unahisi huwezi kuwalea watoto basi niachie Mimi niwalee”

- Donald Trump, Rais wa Marekani.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Mwanza