Gmax News

Gmax News

Share

02/03/2026

MKEKA WETU WA LEO

BILA TAMAA WANANGU✊🏾
HAKIKISHA HAUIACHI HII HELA📌

12/10/2025

Mechi ya kirafiki kati ya SIMBA vs AL HILAL itapigwa leo majira ya saa 12 jioni kwenye uwanja wa gym khan

Al hilal wanaenda kutafuta ushindi wao wa kwanza mbele ya SIMBA huku SIMBA anaenda kulinda heshima na kuendeleza rekodi yake ya kutofungwa na AL HILAL

acha tuone 😀😀😀

Photos from Gmax News's post 19/09/2025

Klabu ya Raja Casablanca ipo katika maamuzi magumu ya mapema msimu huu, ambapo uongozi wa timu unaripotiwa kufikiria kuachana na kocha wao mkuu Lassaad Chabbi, ingawa ameiongoza timu hiyo katika michezo miwili pekee ya mwanzo wa msimu mpya wa Botola Pro.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Morocco, majina ya makocha Fadlu Davids na Jose Riveiro yameibuka kama wagombea wakuu wa kumrithi Chabbi endapo atatimuliwa.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Rock City
Mwanza