Middlecharz Sports INFO
30/09/2022
THAMANI YA MKATABA
“Mkataba wetu unathamani ya Tsh milion 120 sawa na milion 10 kwa mwezi. Vile vile watercom watatoa lita 1500 kwa klabu yetu kila mwezi”
Eng.Hersi
30/09/2022
"Jumatatu tutakuwa tunaongoza Ligi.Msimu huu tumedhamiria Kuwa Mabingwa na tunataka kuwa sehemu ya historia ya Nchi hii kwenye mabadiliko ya Mpira.Kabla ya kutetema watakuwa wanatetemeka sababu wanajua wanaenda kucheza na Ruvu"
MASAU BWIRE
✍️Futbal Planet
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza