AFYA KWA AKINA MAMA

AFYA KWA AKINA MAMA

Share

21/06/2023

MAMBO AMBAYO MWANAMKE ATAKIWI KUYAPUUZIA ANAPO ONA DALILI HIZI

1.Unahisi miwasho lakini unapuuzia

2.Ukivua nguo yako unakuta uchafu ambao si wa kawaida lakini unaona ni jambo la kawaida

3.Uchafu unatoka k**a maziwa na muda mwingine rangi zingine, unaoambatana na harufu mbaya lakini unachukulia poa

4.UTI zinakurudia mara kwa mara unaona ni kawaida tu

5.ukikutana na mwenzi wako unapata maumivu unatoka damu, hauna_hisia zozote wakati wa tendo na wala hauchukui hatua yoyote

USIENDELEE KUFANYA HAYO MAKOSA,TAFITI ZINAONESHA KATI YA WANAWAKE 10 WALIOFANYA KOSA 1 KATI YA HAYO,WAMEKUMBWA NA MADHARA YAFUATAYO;

🍂Kupata Kansa ya kizazi hapo badae
🍂kushindwa kupata ujauzito pindi wanapokuwa wanahitaji na hata wakipata unatoka mara kwa mara
🍂Kushindwa kufurahia tendo la ndoa na kuvuruga mahusiano
🍂Msongo wa mawazo ambao hupelekea kuvuruga homoni na kusababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kunakoambatana na maumivu
🍂Tatizo la harufu mbaya na ukavu uliopitiliza.

KWAUSHAURI NA TIBA. Wasiliana nasi 0627808798

Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Nyegezi
Mwanza