dr.singano_afya
Hedhi kuchelewa sio mimba pekee.
Mwili wako unaweza kuwa unakutumia ujumbe muhimu kuhusu afya yako. ⚠️
Stress, mabadiliko ya uzito, PCOS, hormones au mazoezi makali vinaweza kusababisha hedhi kuchelewa au kupitiliza mwezi mzima.
Usipuuze dalili hizi.
Kuelewa chanzo ni hatua ya kwanza ya kulinda afya yako. 💗
SWIPE ➡️ kujifunza zaidi.
SAVE post hii kwa matumizi ya baadaye.
— Dr.Singano_afya.
Mnyonye mtoto wako kwa wakati
🇹🇿
📌Je unayajua Makosa unayofanya wakati unapiga mswaki.
1.kupiga mswaki kwa nguvu
2.Kutumia mswaki mgumu
3. Kupiga mswaki chini ya dakika tatu.
4. Kusahau kupiga mswaki ulimi
5. Kutumia mswaki zaidi ya miezi mitatu
6. Kuweka mswaki bafuni
7. Kupiga mswaki kwa mazoea
8.kusukutua na maji mengi baada ya kupiga mswaki.
9.Jinsi ya kuweka mswaki kwenye jino ( mswaki unatakiwe utengeneze nyuzi 45 na jino)
10. Matumizi ya dawa sisizo na viwango
JE WEWE UNAFANYA KOSA GANI KATI YA HAYO comment hapa🤣
🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Mkolani
Mwanza