MOAJ Graphics

MOAJ Graphics

Share

08/09/2025

𝗟𝗮𝗯𝗲𝗹 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘂𝘇𝗮, 𝗨𝗯𝘂𝗻𝗶𝗳𝘂 𝘂𝗻𝗮𝗼𝗮𝗺𝗶𝗻𝗶𝗸𝗮!

Kwa bidhaa hii ya DHD Sunflower Oil, mteja alihitaji label itakayoakisi ubora, afya, na asili ya bidhaa yake. Tulitengeneza muonekano safi, wa kuvutia na unaowasilisha ujumbe wa 𝟭𝟬𝟬% 𝗡𝗮𝘁𝘂𝗿𝗮𝗹 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁 kwa haraka bila kuhitaji maneno mengi.

🔸 Rangi za kijani na njano zilichaguliwa kwa makusudi kuwakilisha 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶, 𝗮𝗳𝘆𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗯𝗶𝗰𝗵𝗶
🔸 Tuliongeza icons za ubora (recyclable, cholesterol free) kuongeza 𝗶𝗺𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗻𝘂𝗻𝘂𝘇𝗶 𝘀𝗼𝗸𝗼𝗻𝗶
🔸 Picha ya mafuta na kuku iliyopikwa huonyesha 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝘇𝗶 𝗵𝗮𝗹𝗶𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗯𝗶𝗱𝗵𝗮𝗮, kuhamasisha wateja kuchukua hatua

Mafuta halisi yanahitaji label halisi.
𝗨𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗹𝗮𝗯𝗲𝗹 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘀𝗲𝗺𝗮 𝘆𝗼𝘁𝗲 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗺𝗲𝗻𝗴𝗶?

📲𝐖𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐥𝐞𝐨, 𝐭𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐛𝐢𝐝𝐡𝐚𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐢𝐮𝐳𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐧𝐞𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐭𝐮!

08/09/2025

🔥 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥 𝐈𝐧𝐚𝐲𝐨𝐮𝐳𝐚, 𝐁𝐢𝐝𝐡𝐚𝐚 𝐈𝐧𝐚𝐲𝐨𝐯𝐮𝐭𝐢𝐚 🔥

Kwa bidhaa hii ya DHD Sunflower Oil, tulibuni label inayozungumza ubora, afya na asili hata kabla ya mteja kusoma maelezo.

🌻 𝟭𝟬𝟬% 𝗡𝗮𝘁𝘂𝗿𝗮𝗹 𝗟𝗼𝗼𝗸 𝗳𝗼𝗿 𝗮 𝟭𝟬𝟬% 𝗡𝗮𝘁𝘂𝗿𝗮𝗹 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁
Tulihakikisha kila kipengele cha label kinaakisi thamani halisi ya mafuta haya kutoka 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝗮𝗻𝗴𝗮𝘃𝘂 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝗷𝗮𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗻𝗷𝗮𝗻𝗼, hadi picha halisi ya bidhaa ikitumiwa jikoni.

✔️ Icons za ubora (cholesterol free, recyclable) zinaongeza imani ya mteja
✔️ Message fupi lakini yenye nguvu: 𝗢𝗿𝗱𝗲𝗿 𝗬𝗼𝘂𝗿𝘀 𝗡𝗼𝘄! ikihamasisha wateja kuchukua hatua ya haraka

👉 K**a unahitaji label inayosaidia bidhaa yako kuongea moja kwa moja na wateja basi uko mahali sahihi. Wasiliana nasi sasa:

0757522898 (Gusa namba kwenye Bio kwa urahisi)

𝗨𝗯𝘂𝗻𝗶𝗳𝘂 𝘂𝗻𝗮𝗼𝘂𝘇𝗮 𝘀𝗶𝗼 𝗯𝗮𝗵𝗮𝘁𝗶. 𝗡𝗶 𝗺𝗸𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶.

* *

Photos from MOAJ Graphics's post 08/09/2025

𝐅𝐫𝐨𝐦 𝐈𝐝𝐞𝐚 𝐭𝐨 𝐈𝐝𝐞𝐧𝐭𝐢𝐭𝐲. 𝐔𝐛𝐮𝐧𝐢𝐟𝐮 𝐔𝐧𝐚𝐨𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐙𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐌𝐚𝐧𝐞𝐧𝐨

Kutoka kwenye label inayouza hadi muonekano wa chapa kwenye bidhaa, kazi yangu ni kuhakikisha kila kitu kinaakisi thamani ya mteja.

🔸 Logo ya DHD Company LTD tulibuni kwa umaridadi ikilenga uweledi, imani na ubora wa kudumu.
🔸 Tuliiweka kwenye mugs k**a sehemu ya brand visibility iwe ofisini au kwenye maonesho, chapa inabaki na mvuto wake.
🔸 Kwenye bidhaa (k**a mafuta ya alizeti), logo hii imeongeza muonekano wa kitaalamu unaoaminika sokoni.

Ubunifu wa chapa ni zaidi ya alama ni utambulisho wa biashara yako.
Karibu tufanye kazi pamoja ili chapa yako isikike kabla ya mtu hajaisema.

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


MKOLANI
Mwanza
3112