TIBA JUISI

TIBA JUISI

Share

04/12/2022

*NGUVU YA UPONYAJI WA MIMEA*
UGONJWA UNAOONGOZA DUNIANI KWA KUUA NI UJINGA,
NA KUNA MAANDIKO YANAYOSEMA"watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"

SIKU HIZI WATU WANAUGUA SANA,SIYO AJABU KUKUTA KIJANA WA MIAKA 20 AMEPIGWA NA STROKE AU ANA TEZI DUME TAYARI.ZAMANI HAIKUWA HIVI ILIKUWA UNAKUTA MPAKA MTU ANAFIKISHA MIAKA 100 LAKINI BADO ANA NGUVU ZAKE .

HII LEO KIJANA CHINI YA MIAKA 30 HANA NGUVU ZA KIUME.KINGA ZA MWILI HII LEO ZIKO CHINI SANA NA NDIYO MAANA KANSA INAZIDI KUWA LIUGONJWA LIKUBWA WAKATI ZAMANI KANSA ILIKUWA KWA WAZUNGU TU.
WATU WENGI WAKIWA WAZIMA LEO WANAICHUKULIA AFYA KITU POA TU!
JAMBO WATU WENGI WANALOJISAHAU NI KUJITIBU MAPEMA NA KUONGEZA AU KUIMARISHA KINGA YA MWILI UKIWA BADO MZIMA(Usisubiri mpaka mambo yaharibike ndo uanze kunywa mitishamba,mitishamba ipo zaidi kukukinga kuliko kukutibu).
UTAJIRI WAKO WA KWANZA NI AFYA NA UKIZUNGUMZIA AFYA UNAZUNGUMZIA KINGA YA MWILI.KWA ULAJI WETU WA LEO NA UMEZAJI HOLELA WA VIDONGE TUNAUA KINGA ZETU ZA ASILI ZA MWILI KWA KUJUA AU KUTOJUA(Ndiyo maana siku hizi ukiugua mafua hadi unalazwa lakini zamani haukuwa hivi kinga zako zilipokuwa bado zina nguvu).

NDUGU YANGU UKIWA HAUNA TATIZO LA KIAFYA NDIO WAKATI MZURI WA KUONGEZEA ULINZI WA ASILI YAANI KINGA YA MWILI.VILE VILE UKIWA UNAUMWA USIKIMBILIE VIDONGE KWANZA,VIDONGE VINGI VINA MADHARA MAKUBWA KWANI KILA UNAPOMEZA KIDONGE KUNA ATHARI ZINABAKI MWILINI MWAKO.
IPO NGUVU KUBWA YA UPONYAJI KATIKA MIMEA AMBAYO WATU WENGI SIKU HIZI WANAIDHARAU KUTOKANA NA PROPAGANDA ZA WAZUNGU KUWA TIBA ZETU NI ZA KISHENZI, NA NDO HAPO USHANGAE ZAMANI HAPAKUWA NA FAMASI NYINGI K**A LEO NA WATU HAWAKUUGUA SANA K**A LEO,TUREJEE KWENYE FAMASI ZA MABABU ZETU ZA MIMEA.
PASIPO WEWE KUJUA MIMEA ILIYOKUZUNGUKA NYUMBANI KWAKO NI DAWA NZURI NA KINGA NZURI YA MAGONJWA ,VIUNGO,MATUNDA,MBOGAMBOGA ,MIZIZI,MBEGU NA HAYO MAGUGU VYOTE NI DAWA NA KINGA ZA KUKUFANYA USAHAU KABISA KOPO LAKO LA VIDONGE.

TUTAKUELEKEZA MIMEA IPI NI DAWA NA UITUMIEJE BILA KUKULETEA ATHARI MBAYA,MATUNDA NA MBOGA ZIPI NI DAWA NA UZITUMIEJE ILI ZIKUTIBU,TUTAKUFUNDISHA NAMNA YA KUOZESHA MIMEA KWA SIKU 30 ILI UPATE DAWA.
KWA KUTUMIA NGUVU YA MIMEA ILIYOKO UANI KWAKO TUTAKUFUNDISHA JINSI YA KUJITIBU KISUKARI,PRESHA,VIDONDA VYA TUMBO,TATIZO LA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME,BAWASIRI,TEZI DUME,FANGASI SUGU,MACHO,VIUNGO KUUMA NA ATHMA!

UTAFUNDISHWA NAMNA YA KUONGEZA KINGA YA MWILI ILI USISUMBULIWE NA MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MWILI KUANZA KUZEEKA,NA KUJITIBU MWENYEWE MAGONJWA SUGU YANAYOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU KWA KUTUMIA NGUVU YA MIMEA KUPITIA CHAI,JUISI,SYRUP NA UNGA.
WASILIANA NASI SASA KUPITIA 0744343221.

01/12/2022

SPINACH
Hii siyo mboga tu bali pia ni bonge moja ya mmea dawa,nakushauri upande ukiweza,ni nzuri zaidi ikiliwa ikiwa mbichi,inasaidia sana kwenye macho,afya ya ubongo,inatibu presha,spinach ina virutubisho kibao ikiwa ni pamoja na nguvu ya kuzuia maambukizi!Kuelekezwa zaidi namna ya kujitibu na kujikinga mwenyewe na magonjwa tupigie kupitia 0744343221

01/12/2022

FAIDA 3 ZA TANGAWIZI
1.Hii ni antibiotic ya kienyeji au ya asili maana yake tangawizi ni kiboko ya bakteria kwa hiuo badala ya kubugia mi antibiotic fikiria kwanza kutumia tangawizi na vitu ka UTI utavisikia tu!

2.Tangawizi mbichi pia ni antviral,maana yake inaweza kupambana na kuvizuia virusi,mara nyingine ujisikiapo una dalili za mafua au homa fikiria kwanza tangawizi.

3.Tangawizi itakusaidia sana pale unapokuwa unasumbuliwa na hama kwikwi au kizunguzungu au kichefuchefu au kiungulia

NB:Tangawizi inasaidia sanakwa watu wenye maumivu ya mifupa.Tangawizi ina kitu kitaalamu ambacho huitwa gingerol ambayo husaidia sana katika kutibu na kuondoa kabisa maumivu ya mwili au viungo!Kukuelezea kwa kinagaubaga faida nyingine za matumizi ya Tangawizi mwilini mwako na jinsi ya kuiandaa ikusaidie katika tiba ya magonjwa zaidi ya 300 wasiliana nasi kupitia 0744433221

Want your business to be the top-listed Grocery Store in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


NYASAKA
Mwanza