Doctorsamtzz
18/02/2023
DALILI 9 ZA KUKOSEKANA KWA USAWA WA HOMONI
( Hormonal Imbalance) NA NJIA RAHISI KUREKEBISHA HALI HIYO
DALILI za kukosekana kwa usawa wa homoni huathiri kila mtu. Asilimia kubwa ya wanawake, mabadiliko zaidi huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka ya 26. Kuna mambo kadhaa yanayochangia kukosekana kwa usawa wa homoni ambayo ni pamoja na kukosekana kwa lishe kamili, uchafuzi wa mazingira, sumu ya xenoestrogens ( kemikali inayosababishwa na estrogen katika miili yetu).
Dalili za kukosekana kwa usawa wa homoni kwenye mwili wako ni k**a:
1. ONGEZEKO LA UZITO WA MWILI AMBAO HAUKABALI DIET WALA MAZOEZI.
Pamoja na diet,mazoezi na kubadili mfumo wa maisha kuna wanawake ambao hawaoni dalili ya kupungua hata wakichukua hatua. Wengi hujikuta wanazidisha mazoezi na kupunguza mlo lakini wanashangaa kwa nini miili yao haikubali marekebisho hayo na kuanza kupungua na badala yake wanazidi kuongezeka.
2.TUMBO KUONGEZEKA MAFUTA NA KUPOTEZA MISULI.
Wakati mfumo wako wa endocrine uko under stress kuna underproduction wa homoni fulani na overproduction ya homoni nyingine (hasa cortisol). Hii inafanya mwili wako kuhifadhi mafuta kwa matumizi ya baadaye, na kufanya ongezeko la mafuta tumboni ama kitambi.
3.LIBIDO
Hujisikii kabisa kufanya mapenzi k**a zamani, hii ni dalili ya wazi kuwa homoni zako haziko sawa.
4. UCHOVU
Unajisikia mchomvu kila asubuhi, na mchana unasikia kulala lala na siyo kawaida yako. *โNashauri:* Punguza vyakula vya ngano na nafaka itasaidia kuleta utulivu wa sukari katika mwili wako na uchovu utaondoka.
5.WASIWASI, KUKASIRIKA MARA KWA MARA .
Mara nyingi unahisi hauko kawaida, unajishangaa kwanini unakasirika kasirika, ama ukitoka kazini unasikia umenyonโgonyea.
6. KUKOSA USINGIZI (Insomnia)
Insomnia husababisha stress katika maisha yetu na husababisha kuongezeka kwa viwango vya cortisol, ambayo moja kwa moja husababisha kukosekana kwa usawa wa homoni.
7. KUTOKWA NA JASHO USIKU.
Jasho hili siyo lile la joto. Na wengi hujishangaa kutoka jasho kiasi hicho.
8. MATATIZO YA DIGESTION.
Unakuwa na Gesi,unavimbiwa na digestion ya polepole ni matatizo ya kawaida na dalili kuwa homoni haziko sawa. Unakula hupati choo hata siku tatu.
9 .CRAVINGS.
Kila mara unasikia kula kula tuu.Unahamu ya kurudia chakula tena na tena pia ni dalili ya kuwa homoni zako haziko sawa.
KUREKEBISHA HOMONI HARAKA NA KUWA MWENYE AFYA
Tiba lishe imetengenezwa na mimea halisi yaani inafanya kazi vizuri na nithabiti kutumika kwa kuboresha lishe yetu, kasoro za afya yetu, inaondoa msongo wa mawazo na kuboresha usingizi na hurejesha shughuli za kimwili kurudia hali yake halisi.
K**a wewe una changamoto yoyote Kati ya hizi na inakupa shida sana basi karibu kupata tibalishe itakayokutibu
Full dozi 552,000
Nusu dozi 295,000
Robo dozi 195,000
Kupata dozi yako ni rahisi mno Tuwasiliane sasahivi kwa namba hii +255745125063
Whatsapp ๐
Wa.me/255745125063
Hii ni kahawa iliyochanganywa na aina tatu za mimea
1. Mizizi ya ginseng
2. Uyoga Mwekundu
3. Majani ya tongkat ali
KAZI YA HII KAHAWA YA TROIKA NI:
= Kuongeza uwezo wa kufanya Tendo la Ndoa kwa wanaume na wanawake
KWAKUONGEZA UWEZO WA TESTOSTERONE
=Kupunguza kasi ya Kansa kuendelea
=Kusawazisha kiwango cha Sukari katika Damu
=Kuongeza Kinga ya mwili na Kuongeza uwezo wa Kufikiri na Kuona
=Kuondoa na kuzuia Uvimbe wowote
=Kusambaza hewa ya Oxygen mwilini na kuondoa cholesterol katika mirija ya damu
=Kuondoa Uchovu na Huleta usingizi mzuri wa usiku
=Inarekebisha presha ya kupanda na kushuka na Hupunguza presha katika damu
=Huimarusha nguvu wakati wa tendo la ndoa(kujamiana)
=Inaongeza hamu ya tendo la ndoa Huamsha mihemko,LIBIDO,Iliyotoweka mda mrefu.
=Huimalisha mfumo wa kumbukumbu na mzunguko wa damu kwa ufasaha.
=Huupa mwili oxygen na kusawazisha PH na Inapunguza makali ya Saratani/kansa
=Hupunguza kiwango cha sukari iliyozidi katika damu inawafaa wenye kisukari,Huimalisha kinga mwilini
=Upungufu wa nguvu za K**e na kiume ,hedhi kutokuwa na mzunguko sahihi.
=Ni tibanzuri kwa kutibu kisukari,shinikizo la Damu,Vivimbe,Mzio(allergy)saratani.
N.B KWA SASAHIVI UNAIPATA KWA ELFU 50 TUU ๐๐
Nipigie kwa namba hii +255745125063
Whatsapp ๐
Wa.me/255745125063
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Dar Es Salaam
Msasani