KWIECO
28/03/2025
It has been reported that the response to providing education, especially for girls, has significantly increased in Siha District, Kilimanjaro Region. This positive trend is attributed to efforts by the government and non-governmental organizations implementing human rights projects in the district.
This was recently stated by the district’s Development Officer, Mr. Marc Masue, while opening a three-day training session on gender equality and human rights for traditional leaders (commonly known as Ilaigwanani). The training is conducted by KWIECO in collaboration with Friedrich Naumann Foundation Tanzania through the 'Safe Communities for Our Development project.'
Mr. Masue highlighted that the education on gender equality and human rights provided by organizations such as KWIECO has played a crucial role in raising awareness within the community about the importance of educating children, particularly in pastoralist communities that have historically lagged in education.
Participants in the training, Mr. Opendo Loodo and Mr. Loinyeye Siodi, who are Maasai traditional leaders (Ilaigwanani), emphasized their responsibility as influential figures in society. They committed to spreading this knowledge within their communities and strategizing to eliminate child marriages and teenage pregnancies, which hinder girls from achieving their dreams.
Approximately ten villages in Siha District have benefited from gender equality and human rights education through projects implemented by KWIECO in collaboration with FNF for five years now.
08/03/2025
https://www.freiheit.org/tansania/safe-community-development
Short Film: Safe community for development In Tanzania's Siha district, a groundbreaking initiative is challenging the deeply rooted practice of Female Ge***al Mutilation within the Maasai community. Led by FNF and KWIECO, the Safe Community for Development project is more than a fight against FGM—it’s a movement for human rights and com...
08/03/2025
https://www.youtube.com/watch?v=IhjBqC8ylUo
Filamu Fupi: Jamii Salama Kwa Maendeleo Hatua kabambe za kupinga mila ya ukeketaji imeanza kuzaa matunda katika ya jamii ya wamasai wilayani Siha mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Mradi wa Jamii Sala...
10/12/2024
Jukwaa la wanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsia mkoa wa Kilimanjaro, leo wamehitimisha maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa majadiliano na kutoa tamko la pamoja k**a sehemu ya kupaza sauti ya pamoja kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii hasa ukatili wa kijinsia.
Katika majadiliano ilibainika kuwa ukatili wa kingono umekuwa tatizo kubwa na kwamba licha ya jitihada za wanaharakati katika kupambania haki za wahanga, bado kumekuwa na changamoto kadhaa za ufikiwaji wa haki hizo.
Baadhi ya mikakati iliyowekwa na wadau ni pamoja na kuimarisha nguvu ya pamoja katika kupambana na matukio ya ukatili wa kijinsia, kutoa elimu kwa jamii na kushirikisha kada mbalimbali ili kuleta mabadiliko endelevu kuanzia ngazi ya chini.
Wajumbe pia waliteua k**ati mpya itakayofuatilia mipango iliyopangwa leo na kuratibu shughuli za jukwaa kwa kipindi cha mwaka mmoja ikiongozwa na shirika la AJISO.
Tukio hili pia lilihidhuriwa na viongozi wa serikali kutoka idara ya maendeleo ya jamii katika manispaa ya Moshi.
Shukrani kwa wadau wote wa jukwaa wakiwemo AJISO, NAFGEM, SIMBAS FOOTPRINT, FOEPAGIWO, MIINJENI WOMEN GROUP, WASHEMOM, WASHEMOVI, WAKASA, SONGAMBELE, TAPO KILIMANJARO, JUKWAA LA WANAWAKE KILIMANJARO, VYOMBO VYA HABARI na KWIECO wenyewe ambao ndio waratibu wa tukio hili kwa ufadhili wa Women Fund Tanzania Trust, WFT Trust
WiLDAF
05/12/2024
Shirikika la KWIECO limekuwa likitumia njia mbalimbali za kuelimisha jamii kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia ikiwepo vyombo vya habari. Pichani ni maafisa wa KWIECO (Veronica Ollomi na Immaculate Mworia) pamoja na afisa ustawi wa jamii wa manispaa ya Moshi, Margreth Reuben wakiwa katika studio za radio Banana Fm kutoa elimu ya ya ukatili wa kijinsia.
Kipindi hiki kimeendeshwa kwa ufadhili wa Women Fund Tanzania Trust, WFT Trust ikiwa ni sehemu ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia zinazoendelea hadi Disemba 10, 2024.
Kupitia kipindi hiki zaidi ya jumbe 120 zilipopokelewa kutoka kwa wasikilizaji, huku wengi wakihitaji elimu hiyo iendelee kutolewa zaidi ili kuongeza uelewa na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia ndani ya jamii.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Chagga Street
Moshi
376KILIMANJARO
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 17:00 |
| Tuesday | 08:30 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 17:00 |