FAPRO NGO's

FAPRO NGO's

Share

05/05/2022

Wakulima wengi wabafeli kwa kutokua na elimu ya ubunifu.
Elimu hii inamekua chabgamoto kwa wengi hata kwa baadhi ya wataalam wa kilimo.
Unaweza ukawa na nyenzo bora za kilimo. Ukikosa maarifa ya ubunifu hicho kitu hakitakua na matokeo mazur k**a ilivyotarajiwa.
Ubunifu huo unazingatia mambo mengi ila mojawapo ni hili.
Mabadiliko ya tabia nchi.
Aina ya Pembejeo na imetengenezwa kwa wakati gani. Elim ya darasan haitoshi.
Tunatakiwa tufanye kazi ya ziada kuhakikisha tunafanya makubwa kwenye kilimo.
Welcome to the GREEN WORLD SUCCESS

Photos from FAPRO NGO's post 04/05/2022

Wakati bei za vitu zinavyozidi kupanda bei ndivyo wakulima wanazidi kupata wakati mgumu wa kumudu garama za uzalishaji mashambani.
Katika kuliona hilo napenda kuwapa habari njema kua sasa unaweza kupata elimu ya jinsi ya kukabiliana na changamoto ya mfumuko wa bei na kulima bika stress.
Fuatilia nakala zetu kuanzia leo uweze kujifunza mambo yafuatayo.
1. Wajua kwamba unaweza kulima tikiti na kuvuna hadi awamu tano???
2. Wajua unaweza kulima eneo dogo na kupata mara10 ya ukubwa unaolima???
3. Unajua njia rahis za kukabiliana na pembejeo feki??
4. Wajua unakwama wapi katika kilimo?
5. Ulishajiuliza kwanini hupigi hatua kwenye kilimo.
Haya ma mengine mengi yanakujia hapa hapa kuanzia leo.

Photos from FAPRO NGO's post 22/08/2021

New product in town.
"DON CHIL"
Ni Pilipili ya maji iliyotengenezwa kwa viungo mbalimbali K**a vile: swaum, mdalasini, tangawizi na viungo vingi vya asili, kwa matumizi ya nyumbani na biashara.
Ina harufu,ladha na mwonekano wakuvutia sana
Unakaribishwa Sana kwa jumla na rejareja.
Kwa wale wa nje ya Moshi DON CHIL inakufikia popote ulipo.
Weka Oda yako Sasa.
Kwa mawasiliano +255 766677240/ 623662765

Want your business to be the top-listed Business in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Ushirika
Moshi