Kimath Marketing Investiment

Kimath Marketing Investiment

Share

02/06/2025

KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 k**a kilivyorekebishwa na kifungu cha 39(b) cha Sheria ya Marekebisho Mbalimbali ya Sheria Namba. 3 ya Mwaka 2019

Tafadhali, rejea somo tajwa hapo juu.

2. Katika siku za hivi karibuni, kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, umeonekana ukiwa katika mimbari ya Kanisa la Glory of Christ Church @ Kanisa la Ufufuo na Uzima, ukitoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi. Vitendo hivi ni kinyume cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337na vinaweza kuhatarisha amani na utulivu nchini.

3. Kwa Mamlaka niliyopewa, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia inafuta usajili wa Glory of Christ Church @ Kanisa la Ufufuo na Uzima, kuanzia leo tarehe 02 Juni 2025. Hivyo, unatakiwa kusitisha shughuli za Kanisa lako mara moja.

4. Chini ya kifungu cha 19(1) cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, Kanisa lina haki ya kukata rufaa juu ya uamuzi huu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia kwa Katibu Mkuu, ndani ya siku 21 kuanzia tarehe ya barua hii.

5. Kwa Amri ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia.

Photos from Maulid Kitenge's post 02/06/2025
02/06/2025

Msanii wa Bongo fleva lavalava rasmi ameondoa utambulisho wake chini ya lebo ya WCB ( Wasafi Classic Baby), ambayo ilikuwa ikisimamia kazi zake toka alipojiunga nayo mwaka 2015.

Lavalava alijiunga na lebo hiyo ya muziki na alikuwa mmoja wa wasanii wa mwanzo kabisa kusainiwa chini ya lebo hiyo inayomilikiwa na

Kabla ya kusainiwa rasmi, Lavalava alikuwa akifanya kazi nyuma ya pazia k**a mtunzi wa nyimbo (songwriter) kwa baadhi ya wasanii wa WCB, na baadaye akaibuka k**a msanii kamili kupitia wimbo wake wa kwanza maarufu "Dede" ulioachiwa mwaka 2017.

Diamond aliwahi kuongea kwenye mahojiano kuhusu Lavalava na kusema ni miongoni mwa Wasanii waliokuwa na heshima na nidhamu sana hivyo hata akitaka kutoka kwenye lebo hiyo hata mtoza chochote tena atampatia na mtaji

Je, Unahisi Lavalava kweli ametoka WCB?

02/06/2025

Kumbe shida inakuaga United🤣

Gazeti la Mpasho

02/06/2025

Msanii wa mziki wa bongo fleva kutokea nchini Tanzania Mbosso Khan amesema kuwa kwa Vijana ambao wanamiliki mishangazi waendelee kuinjoi.

Kauli hii imefuatia baada ya kuulizwa swali na muhandishi wa habari kuhusu kutafutwa na mishangazi akasema hapana hajawahi kutafutwa .

''hamna sijapata nafasi hiyo nafurahi swali lako zuri waendelee kuinjoy.Amesema Mbosso Khan

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


ELIZARACHELREBEKA INVESTIMENT
Moshi