DIC Sports 01
09/06/2024
🚨🚨| Kwa mujibu wa hawa ndio top 3 ya wafuasi walionifatilia zaidi wiki hii🎉
Almas Junior
Somba Dijas
Chris Gray Jr.
Hongereni Sana familia, ili kuwa kwenye list Naomba like Kwa wingi, comment pia share na usisahau kuinvite ili fam ikuwe zaidi😍
FOOLOW
08/06/2024
🚨🚨| BREAKING: Klabu ya Leicester City pamoja na Stade de Reims zote zimemfuata mtoto wa Carlo Ancelotti, Davide Ancelotti na kumshawishi kwenda kuzifundisha. 😮👔
⚪ Lakini Muitaliano huyo anataka kuendelea kufanya Kazi na baba yake kwa mwaka mwingine.🥹
[Relevo]
08/06/2024
Camavinga sio mpira tu hata Kwenye suala zima la unyoaji Yuko vizuri.
Mwamba ana kipaji Sana huyu🤩.
08/06/2024
🤩😍 Mwana karudi nyumbani, Thiago Silva ametambulishwa rasmi na klabu yake ya utotoni Fluminense Football Club .
Kukutana na mchizi wake Marcelo.
FOLLOW US
08/06/2024
Olivier Giroud: "Wanangu huwa wananiambia: 'Baba, unacheza na Kylian Mbappé!'
🗣️"Nawajibu hey Mbappé anacheza na mimi! " 😄
Hahah mwamba hataki dharau😂
08/06/2024
Unakumbuka nini ukiona hii picha MDAU ???
FOLLOW IS
08/06/2024
HERI ya siku ya kuzaliwa Kiungo mfia timu JAVIER ALEJANDRO MASCHERANO amefikisha miaka 40 Leo hii🎂🎉🥳.
🔹 Klabu alizozitumikia kwenye Maisha yake ya SOKA:
- River Plate
- Corinthians
- West Ham United
- Liverpool
- Barcelona
- Hebei China Fortune
- Estudiantes
🔹 Takwimu zake :
[Klabu]
🏟️ Michezo - 452
⚽ Mabao - 2
[Taifa]
🏟️ Michezo - 147
⚽ Mabao - 3
🔹 Mafanikio:
[Kwenye Klabu]
- Argentine Primera Division 🏆
- Campeanato Brasilileiro Sériea A 🏆
- Copa del Rey 🏆🏆🏆🏆🏆
- Supercopa Dé Espana 🏆🏆🏆
- Uefa Champions League 🏆🏆
- Uefa Super Cup 🏆🏆
- FIFA Club World Cup 🏆🏆
[Kwenye Timu ya Taifa]
- Olympic Gold medal 🏅 🏅
- Conmebol pre-olympic tournament 🏅
- South American Youth Championship 🏅
- FIFA World Cup runner-up 🥈[2014]
- Copa America runner-up 🥈 🥈🥈🥈[2004,2007,2015,2016]
🔹NI MOJA YA VIUNGO BORA wakabaji kuwahi kuwashuhudia.
FOLLOW US
08/06/2024
🚨🚨| Bayern Munich bado wana imani ya kumpata João Palhinha kutoka Fulham, pia klabu hiyo ya Ujerumani wamemfanya kiungo huyo wa Ureno kuwa ndio mpango wao muhimu zaidi kwenye idara ya kiungo.
[Relevo]
08/06/2024
🚨🚨 | NEW: ampuni ya Vill Arkitektur ya Norway imeandaa mipango ya ufufuaji endelevu ya kuufanyia marekebisho uwanja wa Old Trafford.
🔸Safu ya nje ya hali ya juu itaveshwa juu ya safu ya ndani ambayo inaweza kutengenezwa tena kwa kutumia njia za jack-up. K**a tunavyoona hapo pichani.
Via- [StevenRailston]
FOLLOW US KUPATA TAARIFA NYINGI ZAIDI ZA MICHEZO.
08/06/2024
✍🏿✍️Vyombo vya habari vya Uingereza Kila kukicha ni kuzungumzia vibaya Manchester United na wachezaji wake.
✍🏿✍️Baada ya mchezo wa Jana kumalizika Kwa Uingereza Kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Iceland, walianza kumshushia lawama bwana mdogo kinda anaechipukia ambae ana muda mwingi zaidi wa kujifunza [ni Kobbie Mainoo] na kumuacha pacha wake aliecheza na Declan Rice, Wakati wote walitakiwa wawajibike.🥹🙄
✍🏿✍️Jambo la kushangaza zaidi hawakumjadili hata kidogo Declan Rice, ilibidi lawama nyingi ziende zaidi kwa Mainoo kuliko kwa Rice.🥺
✍🏿✍️Je, Kumlaumu Mainoo wakati Rice nae alikuwa na mchezo mbaya hiyo ni akili?🤷🏿♂️
✍🏿✍️Hii Hali imenirejesha nyuma kidogo ambapo Erik Ten Hag aliongea mara baada ya Fainali ya kombe la FA: 👇
Erik Ten Haag 🗣️"Nilikuwa na furaha sana kumtazama Kobbie Mainoo leo, lakini inabidi tuwe watulivu. Nyinyi hapa England ni wazuri sana katika kusifia wachezaji, na mameneja, Lakini munawatupia mzigo wa lawama pindi wanapopitia kipindi kigumu."
✍🏿✍️Vyombo vya habari vya uingereza, ni muda wa kujitathmini sasa, asilimia kubwa Ndivyo vinavyofukuzisha Makocha pale EPL.
DIC Sports 01 ✍🏿✍️ Naenda zangu..
07/06/2024
🏴🎙️🚨| Scott Mctominay:
🗣️"Kila sifa mbaya inaenda kwa Erik. Vyombo vya habari hufanya iwe Kazi ngumu kwake."
🗣️"Hivyo Ndivyo ilivyo kwa mameneja waote wanaokuja Manchester United, hii yote ni kutokana na ukubwa wa klabu."
🗣️"Hilo ni jambo la kawaida tu kuona vyombo vya habari vikitengeneza habari ambazo si za kweli, lakini yeye [Erik] amelishughulikia vizuri sana suala hili."
🗣️"Nimefurahishwa sana na msimamo wake, alistahili kushinda Kombe la FA.”
FOLLOW US
07/06/2024
🚨🚨| NEW: INEOS wako mbioni kuiuza klabu ya OGC Nice, huku kukiwa na matarajio kwamba vilabu hivyo viwili [Man United na Nice] vitapewa muda wa mpito wa msimu mmoja na Uefa ili kushiriki Ligi ya Europa msimu ujao.
🔸Jambo lingine ni kwamba Sir Jim Ratcliffe anataka ku-focus na Man United, baada ya kufikia malengo ya ndoto zake za kuimiliki klabu hiyo na anayoishabikia tangi utotoni.
Source - [Independent]
FOLLOW US
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Moshi