NJORO Halisi
24/11/2024
Kura yako katika mtaa wako ndio chachu ya maendeleo ya mtaa wako.
24/11/2024
Kura yako katika mtaa wako ndio chachu ya maendeleo ya mtaa wako.
Mwananchi jitokeze tar 27/11/2024
Nenda kapige kura ili uijenge nchi kuanzia katika mtaa wako.
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI NDG ZUBERI ABDALLAH KIDUMO AKIZUNGUMZA NA WAHANGA WA JANGA LA MOTO WA SOKO LA MBUYUNI WILAYA YA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
17/01/2024
Mstahiki MEYA wa Manispaa Ya Moshi ZUBERI ABDALLAH KIDUMO pamoja na MBUNGE wa moshi mjini Ndugu PRISCUS JACOB TARIMO.
wakiwa katika ukaguzi wa mradi wa shule ya secondary ya kata ya majengo itakayoitwa LUCY LAMECK SEC SCHOOL. Ilikua ni siku tatu kabla ya shule kufunguliwa, viongozi hawa wachapa kazi walikwenda kuhakiki utayari wa ujenzi ili kuwapokea vijana waliomaliza darasa la saba 2023 ili wawahi kuanza masomo yao ya secondary katika shule yao ya kata ya majengo.
By NJORO Halisi .
17/01/2024
*Mbunge na Meya Watembelea maeneo ya mradi mpya wa barabara za TACTIC*
Mbunge wa Moshi Mjini Mh. *Priscus Jacob Tarimo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi *ZUBERI A KIDUMO* Maafisa kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mshauri mwelekezi kutoka kampuni ya Crowntech Engineering wamefanya ziara ya maeneo ambapo miradi ya barabara pamoja na mifereji mpya za mpango wa TACTIC utapita.
Baadhi ya maeneo yatakayoguswa na mradi huo ni pamoja na Magereza-Bonite-Geti Fonga.
Pia Laliga(Njoro)-Daraja la Otieno-Msufini-Ruaichi(Kata ya Ng'ambo)
Aidha mradi huo utahusisha uboreshwaji wa mitaro katikati ya mji na baadhi ya Kata zilizopo nje ya Mji.
#
* #*
26/11/2023
HAPA MSTAHIKI MEYA AKIHAMASISHA UOTESHAJI WA MITI KATIKA MANISPAA YAKE.
KATIKA KIPINDI HIKI CHA MVUA MEYA ANASHAURI TUOTESHE MITI KWA WINGI ILI PINDI MVUA ZITAKAPO KATA MITI IWE IMESHIKA VIZURI NA KUILINDA ILI TUENDELEE KUWA NA MANZARI MAZURI NA HEWA SAFI PAMOJA NA KUTUNZA VYANZO VYETU VYA MAJI.
26/11/2023
Mstahiki Meya na Diwani wa kata ya Njoro akimkabidhi Mwl Mkuu wa shule ya Njoro Photocopy mashine na Laptop kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi kufanya mitihani mara nyingi kwa wiki kwa gharama nafuu. Hii ni baada ya walimu kumuomba mstahiki Meya abadilishe ile ahadi ya kununua mahindi na sasa wapate hiki kifaa cha kuwapunguzia gharama wazazi.
15/11/2023
MEYA wa Manispaa ya moshi Zuberi Abdallah Kidumo Akiwa KIGALI Nchini RWANDA
Akiwa kwenye majukumu yake ya kikazi katika kuipigania manispaa yake ya moshi.
14/11/2023
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ZUBERI ABDALAH KIDUMO akiwa katika kutekeleza majukumu yake ya kikazi nje ya nchi.
Katika kuhakikisha manispaa yake inafikia kwenye malengo ya kuwa manispaa bora katika nyanja zote.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Njoro
Moshi
15/11/2023