MARO Version 9.0

MARO Version 9.0

Share

02/09/2022

📝 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Klabu ya Abha inayoshiriki ligi kuu Saudi Arabia imekamilisha usajili wa winga Luis Miquissone (27) raia wa Msumbiji kwa mkopo wa msimu mmoja kutoka Al Ahly SC.

#

02/09/2022

klabu ya simba imetangaza mchezo wao wa kirafiki na Arta Sola Utachezwa sa 4:00 asubhi na hakuna kiingilio

Mchezo mwingine wa kirafiki wa kimataifa.
▪️ Mchezo kuchezwa saa 4:00 asubuhi.
▪️ Hakuna kiingilio.

02/09/2022

🕯 Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu yetu ya wanaume (Senior Team) ambaye kwasasa alikuwa daktari wa timu ya vijana (Youth Team), Dkt. Yassin Gembe ambacho kimetokea leo mchana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Taarifa zaidi zitatolewa hapo baadae.

02/09/2022

K𝕨𝕒 𝕙𝕒𝕓𝕒𝕣𝕚 𝕫𝕒 𝕦𝕨𝕒𝕜𝕚𝕜𝕒 𝕟𝕒 𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕒𝕞𝕚𝕟𝕚𝕜𝕒 𝕫𝕒 𝕞𝕚𝕔𝕙𝕖𝕫𝕠 𝕓𝕦𝕣𝕦𝕕𝕒𝕟𝕚 𝕟𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒𝕒.𝕜𝕒𝕣𝕚𝕓𝕦 𝕥𝕦𝕔𝕙𝕒𝕞𝕓𝕦𝕖 𝕡𝕒𝕞𝕠𝕛𝕒

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Moshi