Mwalimu MUSIC Library

Mwalimu MUSIC Library

Share

04/02/2017

Mzigo mpya!mzigo mpya!mzigo mpya!Jipatie Muendelezo Wa sizon ya Udaan sizon Two,Lady in the sword,na nyingine kibaaaao!pia Flash Original,kadi za Valentine,Eaphone,Mp3 iPods,na Muvie Kali za Ma Dj wa Arusha chini ya Dj Murphy,Omy D Spensa Dj na Dj,Aly D.

Karibuni wakazi Wa Rau,Uru.

Pia wakazi Wa Uru Timbirini tunawasogezea huduma karibu Soon.

Pia karibu Mwalimu Medics kwa huduma za dawa Muhimu za binadamu na Huduma ya Kusajili Line,M Pesa na Tigo Pesa.

Barber Shop ya Ukweli "Mwalimu Barbershop"Soon itafunguliwa ndani ya Uru Timbirini.

Usikubali kupitwa kuhudumiwa na Wahudumy walioenda Shule na wanaojua thamani ya Mteja ndani ya Mwalimu Music Library Ray,Mwalimu Medics Uru Timbirini na Mwalimu Barbershop!

14/09/2016

Eeeee Mungu Uketiye Mahali palikotukuka,wewe wajua ni kwa nini ninapitia haya,wewe wanijua tangu ningali tumboni mwa mama yangu,ninakusihi na kukuomba Mungu wangu unibariki...

EEEwe Mfalme wa wafalme,wewe ndiye unayegawa riziki na ndiye unayepanga ratiba ni nani aendelee kupumua na nani apate kibali cha kuja kwako,ninakuomba uniondolee kikombe hiki ili nisitende Dhambi,wanijua na wajua yote ninayoyapitia na wewe ndiye mwenye kibali cha kuwaangusha wote wanaoniandama kwa kuwa ni mawakala wa yule Muovu shetani...

Ninaamini wewe Mungu unaniskia kila iitwapo leo na ninakuomba ukutane na hitaji langu juu ya wote wanaoyasababisha ili familiya yangu iteseke.

Hangaika nao wanaohangaika ili niaibike,waaibishe wanaotaka niaibike,hakika nitazidi kulitaja jina lako,Onyesha Mkono wako Mungu wangu KATIKA Biashara zangu,Kazi zangu,Marafiki zangu na hata Maadui zangu ili wayaone Mafanikio yangu!!!
if you like this coment and like my page(Mwalimu Music Library)

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


KILIMANJARO
Moshi
255