AFYA TIBA

AFYA TIBA

Share

02/06/2020

Watanzania tujenge tabia ya kupima afya zetu kabla ya kutafuta matibabu.Kumekuwa na tabia ya watu wengi wanapokuwa wana matatizo ya kiafya hukimbilia kutafuta dawa na kutumia bila ya kujua hasa tatizo alilonalo linatokana na nini.Hii hupelekea athari kutokana na matumizi ya dawa ambazo huenda haziendani na tatizo au ugonjwa alionao muhusika na hii ndiyo huleta madhara zaidi.Hivyo hali hii inasababisha mtu kuzidisha tatizo,au kufubaza tatizo na muhusika kujiona k**a amepona.Kwa nini utumie elfu 5000 kununua na kutumia dawa ambazo huenda zikakuletea shida itakayokugharimu pesa nyingi zaidi hali itakapokuwa mbaya? Tiba sahihi ni ile utakayoipata baada ya kufanya vipimo sahihi kwa tatizo ulilonalo na kupangiwa matibabu.Njoo ufanyiwe vipimo vya afya yako ili uwe na uhakika na matibabu yako.Tunafanya vipimo vya mwili mzima ( General body check up) na tutakushauri tiba inayokufaa.Tupo Mnazi Mmoja au tupigie simu 0784248775 au 0710277988. Afya ni Mtaji.

20/05/2020

Je, unasumbuliwa na pressure ya kupanda na kushuka na inakutesa? Unasumbuliwa na kitambi wewe mama na unahangaika kukiondoa bila mafanikio?Unasumbuliwa na maumivu ya moyo na uti wa mgongo?Una maumivu yasiyokoma ya tumbo na nyonga na hujui pa kuponea? Usihangaike,njoo ujue k**a una shida katika moyo au figo yako.Usitafute dawa ya kutibu ugonjwa kabla ya kujua chanzo cha ugonjwa.Njoo tukufanyie vipimo maalumu vitakavyoonyesha tatizo na chanzo chake na kupatiwa tiba ya vyote hivyo;yaani tatizo na chanzo. Njoo ufaidike,kwani ukija na tatizo la moyo tutakupima na figo,pressure, kisukari ,ini na mengineyo kwa gharama nafuu tu.Njoo ucheki afya yako ili uepuke madhara yanayoepukika!Tupigie no. 0784248775 ili upate maelezo ya kutufikia..Tupo Dar es Salaam.

Want your practice to be the top-listed Clinic in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Nyerere Road, Mnazi Mmoja, Dar Es Salaam
Moshi