Wakipemba Motivation
04/05/2024
Wapigie waliokwambia kwa mwendo wako hautofika popote Waambie uliwaona njiani, lakini ulikuwa na haraka ukawapita Mpigie ex aliedai hautopata mwingine k**a yeye Mwambie haukupata k**a yeye kweli, kwa sababu haukutafuta mwingine wa kuachana nae tena Mpigie Baba akiwa kwenye kijiwe cha kahawa na wazee wenzie Mwambie asiache kukutaja kwa kujivunia, pale marafiki zake wanaposifu watoto wao Mpigie Mama kijijini, mwambie aendelee kuamini kwenye dua zake Siku moja zitakutoa, hata k**a ni kwa mwendo wa kobe aliechoka Wapigie masela, waambie waamke wakiamini leo sio jana Kalamu ya Mungu inaweza kuandika kinyume muda wowote ule akiamua...
21/03/2024
K**a Chai Ina Chemshwa Tu Na Nitamu Vile Je Inge Kua Ina Kaangwa 🤔🤔😂
✊🏾
15/02/2024
WAKIPEMBA MOTIVATION 🔊
🪀
Upendo unakuja na ushahidi
Wakati mtu anapenda sana na kukujali, hauitaji kuwakumbusha juu ya kukutunza kwa sababu watafanya wakati kwako bila kujali maswala yao yanaweza kuwa magumu.
💘 Wakati kuna upendo, hakuna udhuru wa kutoonyesha.
💘 Wakati haujachukuliwa na mtu, inamaanisha wewe sio wa kwanza kwenye orodha yao.
💘 Wakati unamaanisha mengi kwa mtu, kutakuwa na ushahidi.
Hakuna mtu anayefanya kazi sana!
Ni suala la jinsi unavyomaanisha.
Usidanganyike, thamani huleta juu ya utunzaji ... wakati mtu hajali, ni dhahiri kwamba thamani yako haijulikani.
Rudi nyuma na uende mahali utasherehekewa, ambapo mtu atahitaji zaidi yako na acha kujiumiza. Kuwa na siku iliyotimizwa
14/02/2024
Nyuma ya "Nakupenda" aliyokuwa akinitamkia, zilikuwepo shida zake nyingi ambazo alitegemea kuzitimiza kupitia mimi...
Hata nafsi yake haikuwa na shaka kabisa, hakuwa na hisia wala majonzi sababu hakuwa na mapenzi ya kweli.
Hata zile sms za mapenzi na mahaba nilizokuwa namtumia yeye alikuwa akizi forward moja kwa moja kwa wanaume wengine.
Walipita wanawake wengi wazuri na warembo mbele ya macho yangu ila nilichagua kuwa mpofu nisipate tamaa sababu yake yeye.
Kumbe mimi ndie mjinga !!
Alikuwa ni msaliti mzoefu ambae alijua kucheza na wakati ili kunipumbaza, kwa maneno mazuri akaigiza na kwenye shida alijilegeza ili tu alichotaka kukitimiza.
Ni k**a movie tu, kumbe ndio uhalisia. Ahadi zake nyingi zilikuwa za unafki tu, hakukuwa na nia yoyote ya mapenzi ya dhati.
Inauma sana kuwa muaminifu wa kweli mbele ya mwanamke ambae ni msaliti hodari, yeye ambae anachokufanyia wewe ndio anawafanyia wanaume wengine bila uoga wala hofu yoyote ile moyoni mwake.
Najutia juhudi zangu nyingi mbele ya yule mtu ambae hakuwa sahihi kwangu.
Kinachonisikitisha zaidi ni kivipi alikuwa huru kuigiza mbele ya macho yangu kuwa ananipenda wakati ni muongo na msaliti, akavaa vazi la huruma na unyenyekevu kumbe ni Delila wa karne ya kisasa.
Na wengi wenu mnakosea, si kwamba watu wanalia sababu ya mapenzi hapana, watu wanalia sababu wanajutia muda waliopoteza kwa mambo ya kishenzi.
Aaanh! Dunia ina watu na viatu, mahusiano yana wapenzi na washenzi.
Mkimuona mwambieni kuwa "tamaa ya maisha yake isimfanye achanganye mapenzi na ajira, anaweza akapata pesa nyingi mpya ila kamwe hawezi kupata afya nyingine mpya"
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Moshi