Denis digital

Denis digital

Share

10/09/2022

Zalan FC 0 yanga sc 4


Cc,

06/09/2022

Watuhumiwa 4 katika kesi namba mbili ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi namba 2 ya mwaka 2022 inayomkabili aliyekua mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameachiwa huru

Watuhumiwa walioachiliwa huru ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey ambao wote walikua katika kesi hiyo, huku Lengai Ole Sabaya akibaki pekee kuendelea na shauri hilo.

Mkurugenzi Msaidizi, kitengo cha kutenganisha upelelezi na mashtaka Marternus Marandu amesema mnamo tarehe 3.8.2022 wash*takiwa hao wanne waliandika barua katika ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali kuomba kukaa meza ya makubaliano ili waweze kulipa faini pamoja na fidia.


Cc,

Want your business to be the top-listed Media Company in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Moshi