Dalali Moshi

Dalali Moshi

Share

01/04/2025

KIWANJA KINAUZWA MOSHI!!

Location; Kibosho road Moshi, Sambarai
karibu kabisa Na Kimaroroni Inn Lodge,
MITA 500 kutoka Barabara ya Lami.

Kiwanja kina ukubwa wa Nusu heka (square meters 2450)

Huduma zote za kijamii zipo k**a maji, umeme, barabara etc
Kiwanja Kinafaa sana Kwa Makazi pia Biashara, mazingira ni mazuri na tulivu sana.

Price ni Milioni 55, Maongezi yapo.
Wahi Chap nichek 0717916034

27/04/2024

KIWANJA KIZUURI SANAA KINAUZWA MARANGU MOSHI!!!!

Location: Marangu, Barabara ya Kilema, kilometer chache Toka marangu mtoni.

KIWANJA kina ukubwa Mita 40/50 (2000sqm), kiwanja kipo karibu kabisaa na barabara kuu ya kuelekea Marangu Mtoni,
Kipo sehemu tambarare kabisa,
Huduma zote za kijamii k**a maji, umeme, barabara nk. Zipo kwenye kiwanja.

Wahi Chap Chap!!

Kiwanja kinauzwa kihalali na hakina mgogoro.

Price; Milioni 26
Maongezi yapoo!!

Kwa maelezo zaidi nichek 0717916034

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Moshi
167