KUKUSHOP
13/02/2026
Ule msimu wa kuonyesha upendo kwa vitendo umefika, nasi tupo sambamba nawe kukufanikishia hilo na bidhaa zetu bora za nyama ya kuku na soseji.
Tembelea Kukushop yetu kujipatia bidhaa zetu msimu huu wa wapendanao.
Kwa mawasiliano zaidi 📞 +255 65 944 1599
28/01/2026
Sasa hauhitaji kuyeyusha paketi nzima za wings, tumeboresha paketi hizi kwa kugandisha kipande kimoja kimoja kumrahisishia mpishi kuchukua idadi anayohitaji kwa mapishi yake na kuhifadhi vingine kwa urahisi zaidi.
Jipatie paketi yako kwa kutembelea KukuShop au Supermarket iliyopo karibu yako.
📞 Kwa maelezo na oda, tupigie: +255 65 944 1599
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Aga Khan Rd, Rindi Lane Street
Moshi
7304
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 08:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 20:00 |
| Sunday | 09:00 - 18:00 |