Cetosude

Cetosude

Share

25/09/2025

✨ Fursa Plus Project ✨

Fursa Plus Project ni mpango unaoendeshwa na vijana wenye utaalamu wa kilimo, ufugaji na ujasiriamali, chini ya CETOSUDE.
Lengo kuu ni kutoa elimu ya kilimo-biashara, ufugaji wa kisasa na ujasiriamali wa vitendo ili kuondokana na kilimo cha mazoea na utegemezi wa ajira pekee.

🎯 Malengo ya Fursa Plus Project

βœ… Kuelimisha vijana na jamii kuhusu kilimo na ufugaji wa kisasa wenye tija
βœ… Kuwafundisha mbinu za kugeuza kilimo na ufugaji kuwa biashara
βœ… Kuwezesha watu kuunganishwa na masoko ya uhakika
βœ… Kufungua milango ya fursa mbalimbali za kiuchumi
βœ… Kuinua kipato na kupunguza umasikini kupitia elimu ya vitendo na darasani

πŸ’‘ Kwa nini Fursa Plus?
🌿 Tunatoa maarifa ya vitendo (practical skills) ya kilimo na ufugaji yanayoweza kutumika mara moja shambani, bandani na sokoni
🌿 Tunawaunganisha vijana na wadau wa kilimo, ufugaji, masoko na fursa za kifedha
🌿 Tunajenga jamii inayojitegemea, badala ya kutegemea ajira pekee

🌱 Kauli Mbiu Yetu:
β€œKilimo na Ufugaji wa Kibiashara, Ujasiriamali wa Vitendo – Fursa kwa Kila Mtu!”

πŸ‘‰ Karibu ujifunze, ushiriki na ufaidike na Fursa Plus Project.

πŸ”— Tembelea: www.cetosude.or.tz

πŸ“© Wasiliana Nasi Moja kwa Moja kwa Taarifa Zaidi:
πŸ“ž Simu: 0621114769/0684772756@ #
πŸ“§ Barua pepe: [email protected]

Photos from Cetosude's post 20/08/2025

EXCITING NEWS! FA2T PROJECT LAUNCH πŸ„
CETOSUDE through the From Aid to Trade (FA2T) Project has officially commenced comprehensive farmer screening activities across our three target wards!
🎯 What's Happening:
We've deployed experienced and skilled young professionals to conduct one-on-one assessments with farmers, ensuring we reach every potential beneficiary in our project areas.
πŸ‘₯ Our Mission:

Listening to farmers' challenges and understanding their current farming systems
Identifying their aspirations and desired changes
Assessing readiness for dairy farming transformation
Building trust through direct community engagement

🌟 Why This Matters:
This intensive screening process ensures that our FA2T project truly serves those ready to transition from aid dependency to sustainable trade-based livelihoods. Every farmer's voice counts!
πŸ“ Coverage: 3 Wards | 60+ Study Groups | 330+ Farmers
⏰ Timeline: 10-day intensive screening operation
πŸ‘¨β€πŸ’Ό Team: Professional screeners with agricultural expertise
From Aid to Trade - Building Sustainable Dairy Farming Communities! πŸ₯›βœ¨

04/08/2025

Mradi wa From Aid to Trade (FA2T) unaendelea kutekelezwa kwa mafanikio, ambapo elimu muhimu inaendelea kutolewa kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa katika Wilaya ya Hai.

🎯 Mafunzo haya yanawalenga kuwajengea uwezo wafugaji katika:
βœ… Mbinu bora za ufugaji wa kisasa
βœ… Lishe bora ya mifugo
βœ… Uzalishaji wa maziwa kwa tija
βœ… Utunzaji wa mazingira na usalama wa chakula

Kwa ushirikiano wa karibu na viongozi wa maeneo husika pamoja na wataalam wa mifugo, tunazidi kusogeza maendeleo ya kweli kwa jamii zetu.

πŸ’ͺ Tunaamini kuwa elimu ni msingi wa mabadiliko!

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Sabasaba Soweto
Moshi