Morogoro Region

Morogoro Region

Share

19/04/2024

Uongozi wa Moro Family unapenda kuwakaribisha katika mkutano mkuu wa mwaka 2024 utakaofanyika KIMARA TEMBONI kwa wakazi wa Dar Es Salaam, Morogoro na Pwani mnaweza kufika kwa urahisi karibuni sana.

Mawasiliano zaidi 0756098132

AMANI NA MSHIKAMANO KWA WOTE.

07/02/2024

Ulishawahi kufika BWAKILA JUU?

K**a bado, jiandae kuna jambo letu.

Photos from Morogoro Region's post 22/12/2021

Kila kikao cha MWAKA huwa ni wakati wa kuwapongeza viongozi mabalozi na wanachama mbalimbali waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali ikiwemo uanachama bora, nidhamu n.k

MATUKIO KATIKA PICHA: viongozi wa Moro Family waliopokea tunzo katika maeneo mbalimbali.

Amani na mshikamano kwa wote ndio silaha yetu.

Want your organization to be the top-listed Government Service in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Msamvu
Morogoro