Nyaka Data
22/06/2024
Esther wa UMISSETA na mwandishi wa TBC
Esther Seme ni mmoja wa wanafunzi wanaoonyesha vipaji katika mashindano ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) yanayoendelea mkoani Tabora, yakizikutanisha timu kutoka mikoa 28 nchini.
Esther mwenye umri wa miaka 14, ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Kutwa Mbeya na anashiriki mchezo wa netiboli katika mashindano hayo.
Mwanafunzi Esther ana urefu wa futi 6.3 akiwa ni mwanafunzi wa netiboli mrefu zaidi katika mashindano hayo ya UMISSETA kwa mwaka huu.
Picha: Ni mwanafunzi Esther akifanya mahojiano na mwandishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Steven Kigora.
29/04/2024
Baada ya vijembe vizito kuendelea Mitandaoni kati ya Harmonize na Aliyekuwa Bossi wake
Basi Diamond Ameamua kumvulia kofia baada ya Kujibiwa kuwa Hawezi kumlipa Mil 600 ya kumfanya aje kwenye Event ya Kutimiza miaka 15 kwenye Industry ya muziki
Pia mbali na hivyo Harmonize alimempa onyo Ya Kuacha kumzungumzia kwani tayari alishalipwa pesa zake ..
Basi Diamond naye amemjibu kuwa,
" Ooh..! Kumbe una dhamira ya kubishana... Mie mnyonge siwezi kubishana na wewe mtu mzito.. 😥Mataji yote nakupa chukua ushindi " ameandika Diamond platnumz
Unakipi cha kumshauri Diamond..? Dondosha comment..!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Morogoro