Ahmad Machaku
Usiku wa Tarehe 29 mei 2026, Mwanamuziki wa alipiga bonge la Show Mkoani Morogoro .
Katikakati ya Show akampandisha Mdau maarufu na muuza magari maarufu Ndugu yetu na kuanza kumpa Heshima na shukrani zake Kutokana na mchango mkubwa wa Fuko Magari Kwake na wasanii wengine hasa wa Singeli wakifika Morogoro na hata nje ya Morogoro.
31/05/2026
🎓 EWE MZAZI NA MLEZI:
Je, unatafuta shule bora kwa mtoto wako?
👉 Nafasi za Nursery, Pre & Primary zinapatikana sasa!
🔥 Hakikishia mtoto wako anapata Shule Bora ambayo ni
Nafasi za:
✔️ Day & Boarding
✔️ Usafiri salama
✔️ Chakula bora
✔️ Mafunzo ya Kifaransa pia yapo.
💛 Miyonga si shule tu, ni familia!
📞 Wasiliana nasi: 0670783793
📍 Ruaha-Kilosa, Morogoro
👉 Mlete mtoto wako sasa!
31/05/2026
Sunday special. Leo k**a kawaida yetu .icecream.parlour tunakupa kilicho Bora. Icecream zenye ladha tamu Kwa hapa Morogoro unazipata .icecream.parlour Boma Road
icecream.parlour Tunahakikisha weekend yako inaenda powa kabisa Kwa kukupa Furaha kamili ya Icecream Bora kabisa wewe na wale uwapendao.
Njoo Leo tuenjoy pamoja tukiendea na weekend fresh kabisa
Watoto wako upo nao sambamba, walete Sasa huku wafurahie ladha halisi ya ice cream tamu za viwango kutoka hapa
📍 Tupo Boma Road Morogoro, Mbele ya KCB
⏰ Tupo Wazi kila siku: Saa 7 mchana – Saa 5 usiku
📞 0658929299
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
Morogoro