Eknotz

Eknotz

Share

19/04/2026

Kuku wanauzwa

22/02/2026

Habari mwanafamilia wa EKNO πŸŒΏπŸ”
πŸ“’ TANGAZO RASMI LA MABADILIKO YA LOGO – EKNO GROUP
Tunapenda kuwajulisha wateja wetu wote wa dawa za asili kuwa EKNO Group imeboresha muonekano wa Logo yake rasmi.
πŸ”° MAANA YA LOGO MPYA
πŸ¦… Tai – Nguvu, ulinzi na ubora wa dawa zetu za Organic. Tunalinda afya ya mifugo yako kwa suluhisho salama za kiasili.
🟑 Duara la Jua – Mzunguko kamili wa asili. Ukuaji wa afya, uzalishaji bora bila kemikali.
⭐ Nyota – Ubora, uaminifu na viwango vya juu vya bidhaa zetu.
🌿 Jani la Kijani – Uthibitisho wa bidhaa zetu kuwa za asili (Organic) na salama kwa kuku na mlaji.
🟒 Rangi ya Kijani na Njano –
Kijani: Afya na Asili
Njano: Nguvu na Uzalishaji
βœ… Muhimu: Mabadiliko ni ya muonekano wa Logo tu. Ubora wa dawa zetu umebaki ule ule wa kiwango cha juu k**a kawaida.
Endelea kuamini EKNO Group kwa suluhisho za kiasili za kuku wako.
OKOA GHARAMA, FUGA KIASILI. 🌿

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Morogoro