Tabasamu Club
📊 Takwimu Zinasema…
Takribani mtoto 2 kati ya 5 Tanzania hupitia aina fulani ya ukatili kabla ya kufikisha miaka 18.
Chanzo: National Bureau of Statistics Tanzania (Utafiti wa Kitaifa wa Ukatili Dhidi ya Watoto) kwa ushirikiano na UNICEF.
Hizi si namba tu — ni maisha ya watoto wetu.
Usinyamaze.
Toa taarifa. Linda mtoto. 🇹🇿
Meela Furaha
“Ukiona au kusikia unyanyasaji, usinyamaze.
Piga 116 (Huduma ya Ustawi wa Mtoto) au 112 (Polisi).
Chukua hatua. Toa taarifa. Linda tabasamu la mtoto.”
Meela Furaha Charles Matongo Nhonya Ayoub
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Culinary Team
Attire
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Morogoro