Honey Spring

Honey Spring

Share

04/11/2025

PUMZIKENI KWA AMANI WATANZANIA WENZETU WOTE MLIOPOTEZA MAISHA 😭😭

04/10/2025

UZITO vs UJAZO WA ASALI

Je unajua kua asali inabidi ipimwe kwa UZITO na sio UJAZO??

Asali ni nzito kuliko maji hivyo inatakiwa kupimwa kwa GRAMS na sio MLS.

Mfano dumu la "lita 5" la ASALI ni sawa na KILO 7 k**a inavyoonekana kwenye picha.

Hivyo wadau wetu chukueni hilo somo.

Karibu ujipatie asali OG

Tuna asali ya nyuki wadogo
1kg-30, 000
340-12,000

Nyuki wakubwa
1kg-12, 000
7kg-70, 000(dumu)

Want your practice to be the top-listed Clinic in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Kilakala
Morogoro
6094