MAGU Electrical Service
UMEPOTEA AU UNATAFUTA DUKA LETU?
Hakuna haja ya kuuliza watu njiani 😊
Fungua Google Maps, kisha andika MAGU MAGU Electrical Service na bonyeza Directions. Ramani itakuongoza moja kwa moja hadi ofisini kwetu Dumila Njia Panda – Morogoro 📍
⚡ Tunapatikana kwa huduma za:
•Vifaa vya umeme vya majumbani na viwandani
•Ufungaji wa Control Panels
•VFD & Starter Systems
•Matengenezo ya Generators
•Ushauri wa kitaalamu wa umeme
MAGU ELECTRICAL SERVICE
✔️ We Care Our Customer’s 💙
11/07/2026
“Professional troubleshooting & upgrading of Batching Plant Control Panel — kuhakikisha mfumo wa automation, protection na power control unafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, salama na bila interruption katika uzalishaji.”
01/05/2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dumila Town
Morogoro