Geography Study Tips For O-olevel And Advanced Level
SURFACE RUN OFF WATER ..haya ni maji ambayo hukimbia katika eneo ardhi ( earth's surface) kutoka eneo la juu la ardhi kulekea bondeni bila kupitia mikondo maalum..na kwa kiasi kubwa maji haya hutokana na mvua..na huwa yanakimbia kwa namna mbalimbali k**a vile kwa kujisambaza km eneo ni tambalale na lenye mwiniko wa kawaida lakini mengine hupitia kwenye mifeleji iliyojitengenezea kutokana kasi na nguvu ya maji hayo.. kukimbia kwa maji hayo katika namna mbalimbali kuna sababisha kubadilisha muonekano wa ardhi (landform) kutokana mmomonyoko wa ugongo (soil erosion) na mmomonyoko huu huwa unafanywa kwa namna nyingi, k**a vile kuondoa tabaka la juu la ardhi kwa kusombwa na maji hayo(sheet erosion) hasa maeneo tambalale na lenye mwiniko wa kawaida, kwa namna ya michirizi na mifereji midogo (rill erosion) Pamoja na mifereji mikubwa (gully erosion)...madhara makubwa ya maji haya na shughuli yake ni pamoja na kuleta sura mbaya ardhi (bad land ) pia kutengeneza mifereji midogo na mikubwa (rill and gullies) na kuifanya ardhi kukosa rutuba (loss of soil fertility): thanks. .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the university
Telephone
Website
Address
Nane Nane Morogoro
Morogoro