Timotheo Kibawa

Timotheo Kibawa

Share

26/06/2024

Sio kila kitu unachokipenda lazima uking'ang'anie,kuna vitu vingine au kuna watu wengine katika maisha lazima ujifunze kuwaachia,kwasababu kuendelea kuwashikilia au kuwa nao hata k**a unawapenda kuna uwezekano mkubwa ukawacheleweshea hatima zao au wao wakachelewesha hatma yako.

16/10/2023

Kumpenda mtu sio lazima uwe nae wewe,bali hata kumuacha akaenda kwa mtu ambae anahisi atapata furaha zaidi hiyo nayo ni njia ya kuonesha kuwa unampenda huyo mtu.

-na-uidumishe-furaha-yako-na-ya mwenzako-kadri-ya-uwezo-wako.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Ulaya-Nyameni
Morogoro