Geote Tanzania
22/04/2026
Mashirika ya Kiraia (CSOs) kutoka Morogoro chini ya Mradi wa Vijana Plus tulikutana tena katika ziara ya ufuatiliaji iliyoratibiwa na na kufanyika katika ofisi zetu
Ziara hii ilihusisha pia Mshauri wa Kiufundi kutoka Save the Children Sweden na ililenga kuimarisha ujifunzaji kuhusu utekelezaji wa OCD (Organization Capacity Development).
Kwa pamoja, tulipitia maendeleo ya utekelezaji, kutafakari maarifa yaliyopatikana kupitia michakato ya OCA (Organization Capacity Assessment) na OCD, na kujadili mafanikio muhimu, changamoto, pamoja na mafunzo ya vitendo yanayotokana na kazi yetu. Ilikuwa nafasi muhimu ya kujifunza ambayo pia ilitoa mwongozo wa kiufundi kuhusu namna ya kuendelea kuimarisha vipengele vya OCD katika mashirika yanayotekeleza mradi.
Tunashukuru kwa ushirikiano, kujifunza kwa pamoja, na majadiliano yenye maana. Milango yetu bado iko wazi, na tunatarajia kuendelea kushirikiana na kubadilishana maarifa zaidi siku zijazo
20/04/2026
Wrapping up week four: Harnessing the power of Raster Analysis and Interpolation within GIS 🌍✨
We dived deep into how spatial data is represented using grids, unlocking patterns and trends across landscapes, we explored how interpolation bridges data gaps, creating continuous surfaces that guide critical environmental decisions.
From raw data to actionable insights, this week was all about turning complexity into clarity. 🔍💡
19/04/2026
We did it! 🎉
It started with a problem…
Morogoro Municipal is growing fast.
So is its waste.
Over 300 tons daily, yet less than half is collected.
Communities struggle. The environment suffers.
After a powerful week at the innovation , we are proud to be among the Innovative Grant Winners 🚀
Thanks to and through the Vijana Plus Project (co-funded by the European Union) for believing in our vision 🤝
♻️ Smart Taka Hub is tackling Morogoro’s waste crisis by:
• Mapping waste with digital tools
• Improving collection systems
• Turning waste into compost & briquettes
• Empowering youth & communities
Because waste is not the end, it's a resource.
🤝 Let’s build cleaner, smarter cities together.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Address
Kanadian Street
Morogoro